Prof. Mark Mwandosya ni mpotoshaji

Umri unavyozidi kwenda mbele na akili nazo hupungua.... Ni vyema wakajiepusha na matamko kama hayo kama walivyo wanazuoni wengine waliostaafu.
 
Kifungu kipi cha sheria halali za nchi hii kilitumika kumtia hatiani na kumfunga Sugu?
Nenda kaulize mahakamani unauliza huku JF kwani ndiyo walimfunga??
 

CCM at their best!! smh...Ukiwa CCM damu lazima uwe mchawi
 
Mawazo ya kifisiemu,ukiambiwa uyataje hayo matusi aliyotukanwa huyo malaika unabaki kumbwelambwela tu
 
Ogopa sana haya maneno "mjinga na mpumbavu"
 
ndugu, usilinganishe profesa na takataka.

Mwandosya yupo sahihi 100%.
Yeye na Prof. Mwandosya nani ana uelewa wa kumfundisha mwingine? Mimi ninamwamini zaidi Prof. Mwandosya kuliko wewe cowboy commentator unayesubirI Prof. aongee .ndiyo na were utoe comments.
 
Huyu mzee sumu aliyomwagia na mtanadao wa kina jk inamtafuna
 
CCM na Magufuli bila polisi ni sifuri kabisa!
 
Majoka wa Chama Cha Majoka. Kweli kwenye chama kuna majoka mengi kweli. Lakuini kubwa lao ni lile joka la makengeza.
 
sijaona alichopotosha mwandosya kamwe.mtoa mada ndo mpotoshaji.
 
Mwandosya ni mtu mwenye misimamo sana . Namfahamu tangu akiwa katibu mkuu wa wizara ya maji aliwahi kumjibu waziri wake wa wizara ya maji wakati huo JK, kwamba yeye (mwandosya) anaweza kuwa waziri muda wowote ila yeye (JK) hawezi kuwa profesa kamwe.
 
Mwandosya ni mtu mwenye misimamo sana . Namfahamu tangu akiwa katibu mkuu wa wizara ya maji aliwahi kumjibu waziri wake wa wizara ya maji wakati huo JK, kwamba yeye (mwandosya) anaweza kuwa waziri muda wowote ila yeye (JK) hawezi kuwa profesa kamwe.
Duh! Kauli nzito. Ila Mungu si Athumani; JK alikuja kutunukiwa uprofesa na PhD's za kutosha.
 
Suali kama hukumu ilikuwa sahihi mbona rufaa kwa hati ya dharura ilimecheleweshwa? Wapi Prof amemuita Sugu mfungwa wa kisiasa?
Nukuu iko hivi “Nikimpa hongera Mbunge wa Mbeya Mhe.Joseph Mbilinyi kwa kuhitimu Chuo cha Uanasiasa,Gereza la Ruanda,Mbeya".

Kuna tatizo gani Prof kukosoa huko nyuma na sasa? Je kanuni za ccm haziruhusu mwanachama kukosoa?
 
Wewe Joka kweli hamnazo. Sasa huyo Sugu alipotoa kauli wanayodai ilimtukana Magufuli, alikuwa katika shughuli gani, ya kumtoa mwanao kutawa au ya kisiasa?

Kwanza yale si matusi, ni facts. Ukiwa mfupi nikakuambia wewe mfupi sana sijakutukana.
Wacha ujinga..na kama unaona mtu ni mfupi wakati ni makengeza yako sio mfupi? Mnatukana tu ndio kitu mnajua siku hizi
 
Kuna umri ukifika ukastaafu Ni vizuri kuendelea na Mambo mengine Kama kulea wewajukuu nk sio kuendelea na Yale uliyostaafia .Mwandosya umri umeenda Bado anaota siasa na wazee wenzie akna Sumaye
Mkuu Yehodaya, hawa kina Sugu ni vijana ambao kwa namna moja au nyingine wamepitia mikononi mwa Mwandosya.

Usingekuwa ni ustaarabu kwa Mwandosya kukaa tu nyumbani akabaki anaangalia TV huku Sugu akiwa ametoka kifungoni.

Jamii ya kistaarabu siku zote huweka msisitizo kwenye kupingana kwa hoja kisiasa lakini sio kuishi kwa uhasama kiasi cha kukataa kuzikana au kususiana hata mambo mengine ya kijamii.
 
Kwa upuki wako unadhani Prof. Akiondolewa ktk nafasi ya mwenyekiti wa Bodi atapoteza kitu??!
 
Kwa upuki wako unadhani Prof. Akiondolewa ktk nafasi ya mwenyekiti wa Bodi atapoteza kitu??!
Atapoteza hadhi yake..mimimwenyewe nimeanza ku-doubt integrity yake kamakweli ndivyo alivyopost..
 
CCM na Magufuli bila polisi ni sifuri kabisa!
Wananchi wanaomuunga mkono Raisi na CCM ni wengi kuliko wa upinzani sasa wewe unapata wapi hayo maneno yako ya uongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…