Super human
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 1,147
- 752
Huyu kwa haki ndio alitakiwa apitishwe
Wewe ndo cc ya ccm?
tutegemee nini baada ya hapa???
Huyu kwa haki ndio alitakiwa apitishwe
Mwandosya, Lowassa, Bilal, Wasira, Makongoro na Bihole hawa majina yao hata hayakwenda CC, yaliondolewa na Kamati ya Maadili na Usalama.
Huyu kwa haki ndio alitakiwa apitishwe
Kuna mtu kanitumia picha kwamba tano bora imetoka, ni kweli?
hana makundi, mwadilifu, historia inambeba kiutendaji
hana makundi, mwadilifu, historia inambeba kiutendaji