Prof Mahalu yuko wapi?

Prof Mahalu yuko wapi?

sem2708

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
5,813
Reaction score
4,962
Wadau ningependa kujua huyu prof msimamo wake ni nini na je ni miongoni mwa wale walotoka ama hapana?
 
Prof.Mahalu hajatoka. Leo asubuhi nilimuona Bungeni. Yule yuko na CHAMA CHA MAFISADI
 
MTU kwenye akili timamu hawezi kutoka bungeni kususia mambo

Mwanaume akimbii matatizo Bali anakomaa nayo mpaka kieleweke
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha! Interahamwe hapakaliki aisee
 
Prof. Mahalu hawezi kutoka, maana ile scandal yake ya kuchikichia Sh. 2.5 bilion kule Italy (alipokuwa Balozi) ndiyo imepozwa hivi karibuni tu na chama chake. Hivyo lazima aonyeshe utiifu wa hali ya juu hata kama hilo jambo siyo sahihi.
 
Huyu bwana yuko kifungoni na magamba kwani angejaribu kutoka tu ile kesi yake iliyofutwa juzi na DPP ingefufuliwa, chezea MAFIA ya magamba wewe!!!
 
Hana namna inabidi aungane na mainterahamwe! Si unajua mafisadi walimpa kesi?
 
Back
Top Bottom