Prof. Lwaitama njiani kujiunga na CHADEMA


hapo nilipo highlight ni sahihi kabisa lakini kama unamjua vyema au kwa wanaomjua vyema, utaona kwamba ni afadhali abaki neutral hapohapo. ili abaki na uhuru wa kuendelea kuisaidia jamii kwa namna hiyo.
Otherwise huyu jamaa kwenye mambo ya jamii hafiti vizuri. CDM mchukueni na mmpe cheo kuna siku mtafahamu kisemwacho
 
ana uwezo mkubwa wa kuongea, kujenga hoja,na kuelimisha jamii. Unataka achapishe vitabu wakati kusoma hamtaki?! Watanzania hatuna utamadun wa kusoma vtabu!

Mipombe imemzidi hadi kazi zinamshinda,mara nyingi anaonekana uwanja wa Paris(Fisi) sasa sijuhi anafuata nini kule!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…