Prof. Lipumba na mbio za Urais

hilo ndo tatizo la upinzan uchwala wa tz het always lipumba for what? hii ndo hereditary plivelege! ukawa wote ni team masilahi daily looking to feed their stomach...and enrich themselves!
 

Hizo ndo taratibu walizo jipangia UKAWA au Hivyo ndio Hisia zako zinavyokutuma....? UKAWA nguvu ya Soda wakiachwa wazii dk 2 chaliiii!
 
Kwa Mimi Nionavyo Lipumba Hawez Kupeperusha Bendera Ya UKAWA Kwa Msingi Kuwa Ni Ngumu CUF Kupeperusha Bendera Ya UKAWA Bara Na Visiwani Kwa Muono Tu Inaonekana Maalim Seif Ana Nguvu Sana Visiwani Haitakuwa Sawa Asiposmamishwa Kule, Sasa Kule Aksmimishwa Maalim Huku Bara Chansi Inakuwa Imebaki Kwa CHADEMA,NCCR Na NLD Nadhani Hili Liko Waz Ingawa Maalim Yeye Anadai Akpata Uraisi Muungano Anavunja Ila Hajaweka Wazi Hatma Ya UKAWA Kwa Dhamira Yake Hyo Jambo Ambalo Ni Hatari Sana Kwa Ustawi Wa UKAWA Kwani Inaonekana Hakuna Dhamira Ya Pamoja Baina Ya Bara Na Visiwani.
 
Hizo ndo taratibu walizo jipangia UKAWA au Hivyo ndio Hisia zako zinavyokutuma....? UKAWA nguvu ya Soda wakiachwa wazii dk 2 chaliiii!
Shiva, hata KANU ya jirani zetu Kenya, nao waliaamini hivi hivi!, wakafuatia na UNIP ya jirani zetu wa Zambia, wakaja MBC wa jirani zetu Malawi!.

Kama Kenya, Zambia na Malawi kote iliwezekana kwa nini Tanzania ishindikane?!, naamini it is only a matter of time!.

Pasco
 
mkuu Pasco wewe ni mjinga,nafikiri maana ya ujinga ushaifafanua vyema!,hujui na unajifanya kumfundisha mtu ambaye hujui kuwa anajua au hajui labda kaandika kwa mawazo na mapendekezo yake!,mwana ukawa anaefatilia ukawa ndiye anaejua ni nini kinacho endelea na sio suala la kupewa elimu,maana ratiba ya mchakato ya ukawa ya mwezi august ilitoka pamoja na maelekezo mazuri ya namna ya kumpata mgombea mmoja sasa wewe unataka elimu ipi?,hakika wewe ni mjinga na usijifanye unajua kila kitu kwa kuwaita wengine wajinga Logic
 
Last edited by a moderator:
Lipumba kumnadi n ngumu sna.aheri mbatia kdgo unaweza kumnadi lakini c lipumba.kwa upande wa cdm mleta mada yupo sahih cdm wamejinad maeneo yote nchni.hata znz wamejaribu.ni rahis kumnadi mgombea yeyote cdm kuliko hao wa cuf.mfano handeni tanga na kilindi ni ngome ya cuf walishndwa kusimamisha wagombea hata moja kwenye majibo hayo.leo waje wamsimamishe mgombea wa urais?big no!
 
Ukawa iko imara sana! Watanzania kwa mara ya kwanza mtafurahi sana, huu ushirikiano wa vyama 4 utaleta Mapinduzi ya utawala wa haki ndani ya nchi yetu.

Kuhusu prof. Lipumba kutangaza anaruhusiwa na ndo utaratibu ulivyo ndani ya vyama vyote. Kikubwa hapa je nani mwenye nguvu ukawa anayeweza kupambana na Makongoro Nyerere ukawa wakavuna wabunge wa kutosha na baadae wakarudi bungeni kuturudishia katiba mpya ile ya Warioba? Prof Lipumba alikwisha sema wazi kabisa, endapo ukawa hawatampitisha kupeperusha umoja wao yuko tayari kumpigia debe mgombea atakaye pitishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…