Prof. Lipumba anavyodhalilishwa

Mfuate Lipumba maana kila shetani ana mbuyu wake..Wewe wako Lipimba sisi wetu tunao
 
Lipumba alivyokataa kuhongwa amekuwa adui kumbe angepokea pesa za fisadi ndiyo angekuwa rafiki.
 
hivi kuna mtu anawaza porojo???? sisi tunasonga mbele na Lowassa tafuteni kwanza ufalme wa Ikulu mengine yote tutayapata kwa baadaye october 26, ndio tutaanza kuchambua wakati magodoro ya JK wakipakiwa kutoka pahala pa UKAWA.
 

Iv kwann nyie wa lumumba wanafiki ivo?mbona alivokamatwa na kupigwa kipigo cha mbwa mwizi hukumtetea,leo kulikon?si ajabu ht kisutu yake mmeshafuta kwa makubaliano bt matarajio yenu sivo mlivotaraji.........umeyaona ya dar leo?na mrudishe baada sa2.
 
Acha ujinga wewe, hata wewe ukizaa watoto baadae ukajaribu kuwanyonga, wema wote ulowatendea kabla unasahaulika na kupewa lawama kibao...nawe msaliti tuuuu
 
ila wajameni mbona huwa hamna fikra nje ya box..?.....mtu akiwa tofauti na wengi kimaoni kwenu hafai......hasa nyie wana UKAWA ....ulikwina???
 
pole sana kama unamfuataga huyo mwehu aitwaye yericko.
huyo fa'la ni mwehu kweli kweli. mimi nilimdharau kitambo baada ya kuzidisha uongo. nashangaa mamods wanamlea sana guyo dogo na uongo uliokubuhu.


 
Siku hizi kila anayeenda Kinyume na ukawa ni mtu wa system, bahati mbaya watu mnaowasingizia ni wa system hata Sio, ila watu wa system Mpo nao hapo hapo na Ndo wanaoua upinzani Tanzania kina Maalim Seif na Mbowe. Time will tell, but it will be too late to start over again
 
Jina la Lipumba linalomfaa lipumba ni au uondoe li mwanzoni au uongeze vu mwishoni
 
Alipaswa atumie akili ya kuambiwa achanganye na yake apate wazo lake, sasa director wa muvi yake kakosea script lazima akalishwe chini huyu jamaa. ukiona inakukera jidunge dawa za usingizi uamke tar 26 October 2015
 
Lakin kwann lipumba afanye mpema kaisi icho napia akimbie nchi au ndio pandikizi
 
we ji ccm toka zako yule ni prof li pumba sasa tumebaki na mahindi au mchele wacha tucheze na lowassa huo upuuz wko peleka kwa mkeo
 
hivi kuna mtu anawaza porojo???? sisi tunasonga mbele na Lowassa tafuteni kwanza ufalme wa Ikulu mengine yote tutayapata kwa baadaye october 26, ndio tutaanza kuchambua wakati magodoro ya JK wakipakiwa kutoka pahala pa UKAWA.

Mwai Kibaki aliosema" wacha wale enye napiga domo wapige domo sie nasoga belle"
 
Dead soldier dont count as It 's to late. So far. Lipumba will remain in UKAWA memories as saying Lowassa's hands are free from ongoing corrupt scandals in Tanzania.
 
Prof Lipumba amekimbizwa na kitu viwili tu ambavyo vinategemeana,
1.Prof amekuwa kibaraka wa CCM na Kikwete tangia 2010.Udini ndio kichocheo.
Hili jambo Lowassa analifahamu fika na Prof anajua kuwa Lowassa anafahamu.
Lowassa aliwatonya Maalim Seif na Mbowe kuwa wawe makini.
Mpaka hapo mazingira yalishaharibika kwa Lowassa kutokutunza siri baada ya kupokelewa! Hivyo,nafsi ilimsuta Prof na asingeweza kuaminika kwenye mikakati ya ushindi,kuepusha fedheha,lazima ajiuzulu.
2.Fedha sabuni ya roho.Baada ya kuona mazingira ya kuaminika hayapo,ikawa ni rahisi sana kwa Prof kupokea vipande 30 vya fedha ili ajifute machozi kwa kazi aliyofanya na faida anayoiacha huku akijua UKAWA wanaenda kuchukua nchi na ''uwaziri'' au ''ugavana wa BoT''wa fedha ndio huoooo umepotea
 
huyu lipumba nae pumba tupu unaukimbia mchezo wakati ulishaingia uwanjani bora na dr ambaye hakujitokeza kabisa ila lipumba amejidhalilisha tu
 
Anajidhalilisha mwenyewe huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…