Prof. Lipumba anavyodhalilishwa

huu upuuz nao unataka ukuingizie buku 7 ? bure kabisa wewe
 

Attachments

  • 1439200484616.jpg
    36.9 KB · Views: 311
  • 1439200531816.jpg
    40.3 KB · Views: 285

Huyo ndio yericko,hapo wakati wa enl anatangaza nia akiwa ccm,kazi ipo
 

Attachments

  • 1439200742619.jpg
    47.3 KB · Views: 262
Mnatakiwa kujiandaa vizuri kabla ya kuja kupost threads. Unamtuhumu aliyekujulisha kuwa Prof kalipwa pesa kupitia benk na tawi Fulani? Huoni kuwa yeye kamaliza ila wewe unaetaka kuthibitisha ndie uende kwenye hilo tawi ukapate ukweli au uongo. Kumbukeni kuwa Lipumba alichokifanya kwa kiwango na hadhi yake ni cha kijinga tena kafanya kitoto. Unajaribu kunogesha maneno as if ulitegemea chama chake kingefurahia kuondoka kwake.
 
naona umeshindwa kwa hoja sasa umeanza tena udini.pole sana mwaka huu lazima mng'oke tu!!!iwe jua iwe mvua!!!
 
Huu Uzi comment peke yako na u.p.u.u.z.I. wako. Sisi tupo bize na maandano ya kufuru. Yaan ya magufuli yanaingia Mara tano. Ya Leo balaa tupu. Kazi kwako na umbea wa taarabu[/QUOTTena wale wa magufuli walilamba na posho
 
Kajidhalilishs mwenyewe alikuwa na maana gani hkujihudhulu wakati kama huu, na alikili mwenyewe kuwa atamuunga mkono yeyote atakaeteuliwa na ukawa, kama yy atapigwa chini tatzi nn, jamani wanaukawa hasa viongoz? Tulieni tuokowe jahazi hili jamani
 
Huyu jamaa sijaelewa ameandika kitu gani, nimesoma mara mbili mbili sijamwelewa kabisa. Hebu tupe sababu za msingi za Lipumba kujitoa ukawa kama unadai sababu za akina Kubenea na Yericko ni za kudhalilisha. Kuna huna ni bora kupiga kimya bro
 
LIPUMBA anavyodhalilishwa na YERIKO NYERERE na SAID KUBENEA na magazeti ya CHADEMA. siyo tabia nzuri kabisa.

Wala lisikusumbue kiongozi, hii ni "presha" ya vita tu. WANAJESHI wakiwa mstari wa mbele na wakati huo ushindi wa vita unaonekana bayana...ghafla mkuu wa kikosi akibadilika na Kwenda tofauti na matarajio ya wapambanaji hapo lolote linaweza kutokea..kutukanwa,kupigwa na hata kufukuzwa

Baada ya mapambano na ushindi kupatikana, hao wote bado ni watu wa HESHIMA sana na wataenziwa na kuheshimiwa kwa stahiki zao. Huku hakuna MAKAPI.
 
Kajiabisha mwenyewe, Ukawa wakishika hatamu za uongozi wa nchi sijui ataweka wapi sura yake.
 
Bavicha kirefu chake ni Baraza la vichaa chadema. Hawa vichaa wameajiriwa ili kupambana humu Jf. Ni kupoteza muda kujibizana nao. Pia kina Pr. Lipumba ndio malezi waliyowalea hawa jamaa,uongo na uzushi,hivyo hakuna cha ajabu na profesa unakula ulichopanda. Hao ni nyumbu,akienda mmoja huku na hao tiiiiiiiiiim
 
Freedom is coming.......

Naimba tu😛

October 25
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…