Prof. Lipumba akerwa na Zitto Mtwara

Zito hajitmbui na habebeki namkumbuka kibanda na makala yake naliona anguko la zito ni kweli amekua kama yule kijana alobebwa na mbeleko akaichana na wembe looo masikini zito act ukijiunga nayo utakuwa km mrema au cheo utaishia hukohuko kigoma na siasa zako za kupenda sifa na ukubwa.
 
 
HII ILIKUA BAADA YA MKUTANO
Mh ZITTO KABWE akijadiliana jambo na Prof Lipumba Mara tu Baada ya kumalizika Mkutano Wa MTWARA .
Sijaona dhalili za Utovu aw Nidhamu Kama ilivyopostiwa kwenye baadhi ya Mitandao ya Kijamii.
Kushoto kwako msomaji ni Muandishi wa Habari Ezekiel Kamwaga.
Zito hakuitilafiana na prof kwa kitu chochote
 
... Mkuu, tulia kwanza halafu ujenge hoja vizuri, mimi sijaelewa hata kidogo.!
 

kwa hiyo hako kapicha ndio kanafuta tuhuma zote zilizotokea
 
Haina hadhi ya thread bali comment kwenye thread ile nyingine. Mod fanya yako hapa tusipotezeane muda
 
Zipo fununu kutoka chombo cha kuaminika ya kwamba tarehe 20/1/'15 magwiji hawa watakuwa mwanza ktk kutoa shukurani kwa wananchi juu ya uzalendo wa wana mwanza,pia ni chanzo hicho kilinibainishia ya kwamba tuhuma zote ambazo kamanda Zitto alitupiwa kuhusu kuwaalika ACT ktk mkutano uliofanyika mjini mtwara tar 31/12 mwaka jana HAZIKUWA ZA KWELI BALI NI NJAMA ZILIZOKUWA ZIMEPANGWA NA WALE WASIOMTAKIA MEMA,mtonyaji alinitonya ya kwamba:~ni kweli kuna wahuni wachache ambao ktk eneo la mikindani walikuwa wamebeba bendera ya #zambarau waliotaka kujiingiza ktk umoja huo wa UKAWA ili kuleta tafrani, lakini WALIDHIBITIWA MAPEMA KABLA YA KULETA MADHARA
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…