Prof. Lipumba aibuka shujaa. CHADEMA, UKAWA kaburi la CUF

Lizaboni

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
33,894
20,375
image.jpg


Ni maneno kuntu kutoka katika Gazeti la MKAKATI la Ijumaa Aprili Mosi
 
....eti Africa ni Bara Huru, magezeti mengine usikute ni yakutakatisha pesa haramu. Mtu ana biashara haramu ila gazeti ndilo linatumika kuelezea kipato chake.
 
Wakati mwingine hata ukikaa kimya pasipo kuanzisha vinyuzi vyako vya kipuuzi pia ni busara maana unakuwa umeficha ujinga wako kwa kiasi fulani! hata ukikaa bila kushusha nyuzi, tunatambua uwepo wako kuwa na ww upo humu! eliza!
 
Duh, Mkakati? La Lini hili? Na wewe Lizaboni umekubali kuharibu Legacy yako Kwa kuingia kwenye Mkumbo wa waleta picha Za vichwa vya magaZeti?
 
Hahahh bora bikasome kiu ya jibu habar ya wema na zari kulikohili toilet paper
 
Duh, Mkakati? La Lini hili? Na wewe Lizaboni umekubali kuharibu Legacy yako Kwa kuingia kwenye Mkumbo wa waleta picha Za vichwa vya magaZeti?
Na wewe acha kuchekesha walionuna huyu choo ana Legacy gani hapa JF? Au lugha inakupiga chenga?
 
kweli leo ni sikukuu ya wajinga. hilo gazeti linafiti sana siku kama ya leo.pole mkuu lizaboni,siku nyingine uwe makini zaidi.
 
Unajuwa kama leo ni sikukuu yako? Majobless kama nyinyi naunga mkono mkamatwe kwa nguvu mkalimishwe kwa lazima maana kukosa kazi kumefanya ubongo wako umeoza. Zama za propaganda ziliisha miaka mingi.
Tena hao wakina lizadadaboni&co kwanza ya yote wanastahili kichapo cha nguvu....akili zao zikae sawa
 
March 31 2016 Taasisi ya kupambana na Rushwa TAKUKURU iliwafikisha Mahakamani Kisutu Dar es salaam Wabunge wa CCM Victor Mwambalaswa wa Lupa, Kangi Lugolawa Mwibara na Sadiq Murad wa Mvomero kwa kosa la kuomba rushwa ya milioni 30.

Waliomba hiyo rushwa kutoka kwa mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Gairo kama kishawishi cha kutoa mapendekezo mazuri kwenye ukaguzi wa hesabu zake za mwaka 2015/16 ambapo Mahamani March 31 Wabunge hao walipata dhamana ya shilingi milioni tano kwa kila mmoja na kesi hiyo itatajwa tena April 14 2016.
 
Back
Top Bottom