ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,557
- 90,001
Prof mjinga kabisa kuwahi kutokeaThe Big Chawa kwenye ubora wake.
yaani mnapata tabu sana rudini ccm tu huko mliko ni kwa milele hamtaka mje mshike dola mnachkaa bureProfesa wa mchongo
vilio vitoke wapi dua la kuku halimpati mwewe2030 ikifika mtasikia vilio huko bandarini
Hiyo ni Loliondo ya pili!vilio vitoke wapi dua la kuku halimpati mwewe
We mshangazi wewe๐๐๐๐Ugongwe leo uzae leo?
Vuta subira kwanza uone subira anavyovuta bangi.
Tunapewa kwanza chipsi yai.
Kisha mimba
Why? Unawaza ujinga2030 ikifika mtasikia vilio huko bandarini
Jinga kabisa hilo.Prof mjinga kabisa kuwahi kutokea
Hata Ngorongo mlisema tunawaza ujingaWhy? Unawaza ujinga
Huo ujinga kasimulianeni huko Chadomo.Duh dp world sio muda mrefu upepo wa siasa ukienda vibaya usishangae wakatangaza hasara ili wakwepe mabilioni ya Kodi!!
Kampuni za mifukoni hizi madalali ndio wanufaika Niko pale nimetulia!!
Kwani Ngorongoro Kuna nini kipya? Watu wameacha kuhamishwa?Hata Ngorongo mlisema tunawaza ujinga