Prof. Kitila Mkumbo, muogope Mungu!

Hili swali ni ushahidi mwingine huyu mh.kwenye hii makala alikuwa na agenda yake.

Honestly tungetarajia aanze kutoa kibanzi kwenye jicho lake then ndipo aweze kutoa boriti kwa wenzake. Atueleze was it logical kusimamisha mgombea urais na kuishia kupata kura walizopata? Was it logical kusimamisha wabunge nchi nzima na kuambulia only one? Yaani Wameshindwa kupata hata kiti kimoja cha viti maalumu? Why wasingewekeza all their energy kwenye baadhi ya majimbo ili angalau wapate viti vitano? Huyu prof ana maswali mengi ya kutolea unafafanuzi. Sasa ni maajabu kuanza kujadili ubovu wa gari la jirani yako wakati la kwako liko juu ya mawe.
 
Na kama watu wa vijijini waliuona mkutano wa Lowassa Arusha akiwa CCM kupitia televisheni, iweje hawakuona mikutano mingine ya Lowassa akiwa UKAWA? Hakuwafikia watu wa vijijini kivipi sasa kama hawa watu waliweza kuuona mkutano wa Arusha? Mgombea aliyeshinda alifika vijijini? Lini? "The problem with Africa is that too many intellectuals have become political sycophants just to go ahead" Prof. K. K. Mwenda
 

Maswali mazuri sana haya

CC: Kitila Mkumbo
 
Last edited by a moderator:
aibu... hiki kiprofesa si kingetafuta mtu amsaidie kuhariri andiko lake?
 
Maswali mazuri sana haya

CC: Kitila Mkumbo

Hizi sababu anazotoa Kitila zinaakisi zile zilizotolewa na January kwenye makala yake katika gazeti/jarida la Mail&Guardian Africa. Makala ile ilitoka siku chache kabla ya uchaguzi. Anachofanya Kitila ni ku regurgitate alichoandika January. I suspect some sort of coordination here.
 
Last edited by a moderator:
Nafikiri wewe ndie unatakiwa kumuogopa Mungu sijui nyie watu mna matatizo gani mnataka kusikia mazuri tu au kusifiwa tu,ningekuelewa kama ungejibu hoja badala ya kuja na sentensi ya kusema Kitila amuogope Mungu kwa kosa gani au kwa uongo upi ,jirekebisheni,na mkubali pia mawazo kutokaupande mwingine
 
Yuko sahihi ndo masna wa 'vijinini' ndio waliomchagua Magufuli kwa wingi kwa kutumia hivyo vigezo vya Prof. Hapo juu!
 
mkiambiwa ukweli mnatoa kashfa TWAWEZA na wengineo kwenye kura za maoni walisema ukweli mkawapa kashfa matokeo yake mkapata wabunge 35 halafu unadai umeibiwa kura.

wataalamu wakiwashauri fuateni ushauri wao mkoa wa Ruvuma una majimbo 9 mgombea wenu alienda majimbo 2 ya mjini mkoa wenye majimbo 9 unaenda majimbo 2 halafu unategemea kupata kura za watu wa vijijini kweli watu wa vijijini walimwibia kura Lowassa.
 
Prof.you must be kidding!

Hilo prof. ni moja la maprof wapumbavu wa Tanzania. Sioni ajabu majitu kama Mkumbo (prof. makombo), Banna na maprof. wengine wakihororoja maneno yasiyokuwa na tija. Hivi hili tutusa nani kaliambia kwamba Lowassa kashindwa uchaguzi? Useless prof.
 
Nani asiyejua kuwa Prof. Mkumbo anatumika?
 
Tibaijuka ngeleya chenge na kingwangala wameshinda mjini eheh
 
Mleta mada muogope Mungu....yaani wewe ulikuwa mpinga ufisadi ghafla ukageuka na kuanza kumshabikia...acheni unafiki !
 
Huyo profesa zwazwa aandike sababu ya ACT kupata kiti kimoja cha ubunge.
 
Pia tumuulize Profesa amepitia matokeo yote ya uchaguzi ya kura zilizopigwa vijijini na kukuta Magufuli anaongoza?

KwAni mpinzani alikuwa Lowas? tu? ACT hawakushinda popote mjini wala vijijini. Kafulila shujaa Wa taifa juu ya Ufisadi kashindwa kwao vijijini wanakotunza kumbukumbu. Chenge Na Tibaijuka wameshinda vijijini, wananchi hawakumbuki mboga ya million kumi. The Professor can not be serious he has hate speech towards Lowasa
 
Jamani hawa ni wale adhabu ya kupigwa mawe inawafaa ni wanafki kupitiliza !! Prof. Anawafanyia unafiki watanzania zaidi ya mil 40 na kuharibu maisha na matumaini yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…