johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,924
- 143,477
Chadema wanafeli sana halafu wanajioni kama wanaakili sana kumbe akili zao wanapokuwa nje ya mifumo ya uongozi kamili . Wakipewa nafasi za kuongoza ndipo tunawaona kuwa kumbe ni matabulalasa vichwaniWengi tunaamini Chadema Ndio Chama tawala mbadala lakini cha ajabu Wakongwe wake waliohamia CCM wanafeli Sana..
Yaani ukachanganyike na waliopoteza kisha ww uwe tofauti? Mifumo hiyo mibovu ww utakuwaje tofauti?Chadema wanafeli sana halafu wanajioni kama wanaakili sana kumbe akili zao wanapokuwa nje ya mifumo ya uongozi kamili . Wakipewa nafasi za kuongoza ndipo tunawaona kuwa kumbe ni matabulalasa vichwani
Yule siyo mchumi ni mwalimu. Tena aliyeupata u alimu wa chuo kwa kuhongwa ni baada ya kuwasaliti wenzie kwenye mgomo wa 1994 akapelekwa Nairobi kisha GPA ikarekebiswa maisha yakaendelea.Wengi tunaamini Chadema Ndio Chama tawala mbadala lakini cha ajabu Wakongwe wake waliohamia CCM wanafeli Sana...
Tatizo mfumo CCM.Wengi tunaamini Chadema Ndio Chama tawala mbadala lakini cha ajabu Wakongwe wake waliohamia CCM wanafeli Sana
Waziri wa sasa wa Uchumi Ndio alikuwa think tank wa Chadema na baadae ACT wazalendo lakini hali tuliyonayo Ndio hii hasa Umeme, Sukari, Dollar, Maji na Bima ya Afya
Chadema mjitafakari Sana nadhani mmeelewa
Mlale unono ππ₯
Wacha utotoWengi tunaamini Chadema Ndio Chama tawala mbadala lakini cha ajabu Wakongwe wake waliohamia CCM wanafeli sana.
Waziri wa sasa wa Uchumi Ndio alikuwa think tank wa Chadema na baadae ACT wazalendo lakini hali tuliyonayo Ndio hii hasa Umeme, Sukari, Dollar, Maji na Bima ya Afya
Chadema mjitafakari Sana nadhani mmeelewa
Mlale unono
Umeongea Nini hiki? Yani Kitila ni mwana CCM aliyetokea ACT wala sio CHADEMA. Tena ni mwalimu wa Saikolojia sio Uchumi. Utaaanzaje kuilaumu CHADEMA?. Tuwe serious.Chadema wanafeli sana halafu wanajioni kama wanaakili sana kumbe akili zao wanapokuwa nje ya mifumo ya uongozi kamili . Wakipewa nafasi za kuongoza ndipo tunawaona kuwa kumbe ni matabulalasa vichwani
Ni mwalimu kabisa. Alitusaliti 1998/1999 alipokuwa rais wa DARUSO. Na hakupelekwa wapi wala wapi, baada ya kumaliza 4th year tu (kabla hata ya graduation) aliajiriwa ofisi ya Dean of students huku akifanya Master of Education (Psychology).Yule siyo mchumi ni mwalimu. Tena aliyeupata u alimu wa chuo kwa kuhongwa ni baada ya kuwasaliti wenzie kwenye mgomo wa 1994 akapelekwa Nairobi kisha GPA ikarekebiswa maisha yakaendelea.
Kitila Mkumbo ni professa wa mahusiano, sasa mahusiano na uchumi wapi na wapi??? Ujinga mnao ninyi ccm ambao mtu aliyesomea mambo ya mapenzi kumfanya ashughulikie uchumiWengi tunaamini Chadema Ndio Chama tawala mbadala lakini cha ajabu Wakongwe wake waliohamia CCM wanafeli sana.
Waziri wa sasa wa Uchumi Ndio alikuwa think tank wa Chadema na baadae ACT wazalendo lakini hali tuliyonayo Ndio hii hasa Umeme, Sukari, Dollar, Maji na Bima ya Afya
Chadema mjitafakari Sana nadhani mmeelewa
Mlale unono
Ndiyo maana alifukuzwa CHADEMA baada ya kugundua kuwa hana akiliWengi tunaamini Chadema Ndio Chama tawala mbadala lakini cha ajabu Wakongwe wake waliohamia CCM wanafeli sana.
Waziri wa sasa wa Uchumi Ndio alikuwa think tank wa Chadema na baadae ACT wazalendo lakini hali tuliyonayo Ndio hii hasa Umeme, Sukari, Dollar, Maji na Bima ya Afya
Chadema mjitafakari Sana nadhani mmeelewa
Mlale unono ππ₯
Ajabu sasa, ccm wanaenda kununua Kwa gharama kubwa watu waliofeli ili wawasaidie kujikwamua walikokwama. Haya ni maajabu ya karneChadema wanafeli sana halafu wanajioni kama wanaakili sana kumbe akili zao wanapokuwa nje ya mifumo ya uongozi kamili . Wakipewa nafasi za kuongoza ndipo tunawaona kuwa kumbe ni matabulalasa vichwani
Ni utoto tu unamsumbua akikua ataachaBwasheh unapenda kuilaumu chadema,kwani cdm ndiyo anaendesha dola
Ova