comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,945
Waziri wa sheria na katiba Mh Profesa Prof. Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi amesema askari polisi wanaowapiga watuhumiwa na kuwapeleka Mahakamani bila kuwapa tiba wanavunja katiba, Profesa Kabudi ameongea hayo mjini Dodoma wakati wa kipindi cha maswali bungeni kuhusu ufafanuzi wa mambo yanayopelekea ukiukwaji wa katiba na sheria
Radio one
Radio one