Prof Kabudi anapaswa kumuenzi JPM kwa kumuandikia kitabu

Mtanke

JF-Expert Member
Nov 19, 2011
443
1,000
Kabudi aliambiwaga na Magu wewe ni mkubwa kwangu lkn ni mpumbavuuuuuuu,akainuka kwny kiti chake akasujudu kwa heshima kabisa akisema asante sana.
Huu ni uongo mtakatifu. Prof Mbarawa ndio aliambiwa ni Mpumbavu na leo kapewa wizara ile ile kipenzi na moyo wa marehemu ulipokuwa

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 

Last emperor

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
8,033
2,000
Ili amwite Magufuli mheshimiwa Mungu vizuri

 

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
44,135
2,000
Mtu wa kuandika kitabu cha Magufuli ni Kitwanga...
Huyo Kabudi kamjua Magufuli akiwa Rais..
Kitwanga ndo anamjua vizuri Magufuli
 

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
48,533
2,000
Kabudi aliambiwaga na Magu wewe ni mkubwa kwangu lkn ni mpumbavuuuuuuu,akainuka kwny kiti chake akasujudu kwa heshima kabisa akisema asante sana.
Kabudi bana ana mambo ya kipekee sana! Sema alijua kuucheza wimbo wa Magufuli ndio maana amedumu vizuri kwenye kula nae keki ya taifa!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom