Prof. Kabudi alikuwa serious kuipigania Zimbabwe iondolewe vikwazo au alikuwa anajikombesha kwa Wazungu?

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,580
7,938
Kwa nchi kama ya Tanzania inayoendeshwa na kikundi cha watu wachache wanaosema hawapangiwa, inawezaje kumtuma Waziri wake wa mambo ya kimataifa awaombee msamaha Zimbabwe?

Je, serikali hii ilipata barua za siri na viashiria vinavyoonyesha kuwa nchi itawekewa vikwazo siku za usoni hivyo Prof. kapitia mgongo wa Zimbabwe kujisafisha?

Au ndio yale ya nyani haoni kundule?
 
Back
Top Bottom