miwani ya maisha
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,733
- 2,516
Wanyakyusa wakoje?Kwa mambo anayofanya mtu akikuambia mwakyembe ni mnyakyusa unaweza ukabisha.
Kwa mambo anayofanya mtu akikuambia mwakyembe ni mnyakyusa unaweza ukabisha.
UnamaanishaKwa kweli anawaibisha wanyakyusa. Nafikiri atakua mmalawi huyu. Nina mashaka naye.
Ila nawaonea huruma wana ccm. Maana hata kumtetea huyu wameshindwa. Jaman kuwatetea viongiz wa ccm ni kaz ngumu sana .polen sana wana ccm naona mnawaza namna ya hili lipite
Unamaanisha MNYASA?!!!Kwa kweli anawaibisha wanyakyusa. Nafikiri atakua mmalawi huyu. Nina mashaka naye.
Ila nawaonea huruma wana ccm. Maana hata kumtetea huyu wameshindwa. Jaman kuwatetea viongiz wa ccm ni kaz ngumu sana .polen sana wana ccm naona mnawaza namna ya hili lipite
Ni Waliokubali kuwa nyumbx wa mamangiWanyakyusa wakoje?
Mwakyembe ni mtu wa hivi hivi, nendeni Kyela watawaambia.Harrison anaforce kuijua sanaa bahati mbaya hajafanikiwa kuijua sanaa ila sanaa imefanikiwa kumjua yeye ndo maana inamfinika!