Prof Chinua Achebe is dead

nasikitika zaidi wkani baadhi ya "kizazi cha mazombi" hakimjui/hakina habari nae.
 
R.I.P Chinua Achebe, nitakukumbuka through Things Fall Apart
 
nasikitika zaidi wkani baadhi ya "kizazi cha mazombi" hakimjui/hakina habari nae.

Imagine! Sijui ni vitu gani vinavyo-create impact kwa kizazi hiki kama ilivyokuwa kwetu with great thinkers kama akina Nyerere, Achebe, Camara Laye, Ngugi nk - watu ambao walikuwa wana-shape thinking and patriotic culture of young minds! Sasa hivi tumefika pahala tunasikia serikali haina hata mitaala! Sad indeed!
 
Pumzika kwa amani.Naamini wengine watafikiria kuandika uozo wa viongozi wetu dhaifu hasa MKJ
 
ndugu wana jf kwa habali iliyopatika ni kwamba chinua achebe amefariki leo amefia marekani akiwa na umri wa miaka 82 miongoni mwa vitabu vilivyo mpa umaarufu ni things fall apart kilichoandika mwishoni mwa mwaka 1950
 
Muwe mnaangalia basi thread walizoanzisha wenzenu kuepusha msongamano wa thread.Habari hii ipo hapa toka asubuhi..
 
Mtunzi wa vitabu maarufu nchini naigeria ndugu;CHINUA ACHEBE amefariki dunia leo akiwa na umri wa miaka 85! atakumbukwa kwa umahiri wake wa vitabu km; THE RIVER BETWEEN,THINGS FOLLOW APART, na vingine; chanzo cha hbr bbc swahili! mungu ailaze roho yake mahali pema peponi Amen!
 

Oh! The greatest is Gone. R.I.P. son of Africa. (Umuofia Kwenu!!).
 
Uwe unasoma thread nyngne kabla ya kuanzisha yako!
 
Hakika amefanikiwa kuingiza fikra zake vichwani mwa watu wengi, fikra zake imara zitadumu. Huyu alikuwa mwafrika halisi na hodari aliyedhihirisha kuwa Afrika si bara la giza bali lina watu makini kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…