Mi nashangaa ccm sana. Kipindi kile cha kuvuana gamba, lowassa alisimama kwenye kikao cha cc na kumwambia Mwenyekiti, nasikitishwa sana na kinachoendelea ndani ya chama, watu wanazunguka kwa hela ya chama kunichafua. Wakati mimi hakuna kitu nilichofanya Mwenyekiti haujui. Na kikwete akasitisha lile zoezi. Leo watu wanajifanya hawajui