maonomakuu
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 2,516
- 1,198
Leo ni fisadi kwa sababu hayuko upande wa CCM mbona hamjibu suala la mkuu aliyehusushwa na Richmond? Hizi njaa ni hatari sana, katoa ushahidi kuwa siyo yeye lakini mmekomaa kuwa fisadi sasa semeni vema nasi ambao hatuna chama tunataka mabadilikoPesa zina nguvu kuliko PHD.
Ukiona hadi Professor Baregu kabadili msimamo na kutetea mafisadi basi unajua tanzania inaanza kuwa na wasomi na maprofesa koko ambao hawana msaada wowote wa maana kwa wananchi wa kawaida.Pesa ina uwezo wa kufuta hata PHD ya mtu ikamuweka kwenye kundi la watu ambao hata shule hawakukanyaga.Shame on you proffessor Baregu.
Pesa ina nguvu kufuta PHD za kuzawadiwa kama za JK na wala si vinginevyo.....Pesa zina nguvu kuliko PHD.
Ukiona hadi Professor Baregu kabadili msimamo na kutetea mafisadi basi unajua tanzania inaanza kuwa na wasomi na maprofesa koko ambao hawana msaada wowote wa maana kwa wananchi wa kawaida.Pesa ina uwezo wa kufuta hata PHD ya mtu ikamuweka kwenye kundi la watu ambao hata shule hawakukanyaga.Shame on you proffessor Baregu.
Lowassa ni mtu safi. Vinginevyo asingethubutu kuondoka CCM.
Pesa zina nguvu kuliko PHD.

10bn siyo mchezo
Hata mimi nilikuwa napinga wazi wazi na kushangaa kilichofanywa na CHADEMA lakini baada ya kupata facts na taarifa za ziada nimeelewa sasa kwa nini mambo yako yalivyo.Pesa zina nguvu kuliko PHD.
Ukiona hadi Professor Baregu kabadili msimamo na kutetea mafisadi basi unajua tanzania inaanza kuwa na wasomi na maprofesa koko ambao hawana msaada wowote wa maana kwa wananchi wa kawaida.Pesa ina uwezo wa kufuta hata PHD ya mtu ikamuweka kwenye kundi la watu ambao hata shule hawakukanyaga.Shame on you proffessor Baregu.
✌✌✌✌✌✌ Pipoooozznadhan huna takwimu sahihi sio 10bln ni 100Trillion.... hahahaaaaa...
Lowassa ni mtu safi. Vinginevyo asingethubutu kuondoka CCM.
Ee Mola, msamehe mja wako huyu East African Eagle kwa kuwa hajui asemalo! Amina!Pesa zina nguvu kuliko PHD.
Ukiona hadi Professor Baregu kabadili msimamo na kutetea mafisadi basi unajua tanzania inaanza kuwa na wasomi na maprofesa koko ambao hawana msaada wowote wa maana kwa wananchi wa kawaida.Pesa ina uwezo wa kufuta hata PHD ya mtu ikamuweka kwenye kundi la watu ambao hata shule hawakukanyaga.Shame on you proffessor Baregu.
Pesa zina nguvu kuliko PHD.
Ukiona hadi Professor Baregu kabadili msimamo na kutetea mafisadi basi unajua tanzania inaanza kuwa na wasomi na maprofesa koko ambao hawana msaada wowote wa maana kwa wananchi wa kawaida.Pesa ina uwezo wa kufuta hata PHD ya mtu ikamuweka kwenye kundi la watu ambao hata shule hawakukanyaga.Shame on you proffessor Baregu.
Mkuu ni mgumu kuelewa kwa kuhofu kubadili msimamo. Umeambiwa ni kitu kimepitia taratibu na vikao vyote lazima vya chama.Pesa zina nguvu kuliko PHD.
Ukiona hadi Professor Baregu kabadili msimamo na kutetea mafisadi basi unajua tanzania inaanza kuwa na wasomi na maprofesa koko ambao hawana msaada wowote wa maana kwa wananchi wa kawaida.Pesa ina uwezo wa kufuta hata PHD ya mtu ikamuweka kwenye kundi la watu ambao hata shule hawakukanyaga.Shame on you proffessor Baregu.
Kasema RICHMOND ya ni ya mamlaka ya juu na nyie mmeamini wakati mnajua Mamlaka ya juu haijahukumiwa na mahakama kuthibitisha hilo kwa theory zenu koko.Kwa formulka hiyo hiyo kama bunge na serikali limesema Lowasa kahusika na Richmond Kwa nini msiamini mkaamini ya Lowasa wakati naye anayasema bila Ushahidi wa mahakama? Eti katuthibitishia hakuhusika!!!!!!!????????? Aliyehusika mamlaka ya juu!!!!!!!!!!!?????? Pesa za rushwa zimewapofusha.Leo ni fisadi kwa sababu hayuko upande wa CCM mbona hamjibu suala la mkuu aliyehusushwa na Richmond? Hizi njaa ni hatari sana, katoa ushahidi kuwa siyo yeye lakini mmekomaa kuwa fisadi sasa semeni vema nasi ambao hatuna chama tunataka mabadiliko