Prof Assad: Viongozi wetu wamefanana na Hadith ya Babu Paka ambaye alijifanya ni Mwema kumbe ni Ulaghai wa kuwatafuna Panya Kimya Kimya!

Uwe unasema na kuhakikisha u.eelewa ulichosoma kuliko kuchangia kitu ambacho hukuelewa. Unajiabisha na kuonekana na low mind. Rudia tena kusoma.na ujipe muda wa kutafakari. Usikurupuke kujibu.
Unafaham maana ya logic? Basi wala usipanic tujibishane kwa hoja. Usitokwe na povu dogo.
 
Ni wasiwasi wake tuu, Watanzania ni watu poa sana, hata uwafanye nini, wao ni "ndio tuu" na "asante", na kila baada ya miaka 5, ni "unachukua, unaweka, waa", kile kile chetu...

Hakuna hata wakati mmoja hapatatosha!, siku zote panatosha, na hata ikitokea zisitoshe kwasababu yoyote, kama ilivyotokea 2015, na itatokea tena 2025, "zisipotosha, zinatosheshwa!".

Tunao print vile vikaratasi ni sisi!
Tunao hesabu ni sisi!
Tunao jumlisha ni sisi!
Na tunaotangaza matokeo ni sisi!.
"zisipotosha, zinatosheshwa!".
P
Kumbuka tu kwamba uzoba nao huwa una mwisho.
Hakuna marefu yasiyo na ncha.
 
Hadithi imekosewa/imepotoshwa pengine na aliyeismulia au mleta mada.

Tasbihi ya vichwa vya samaki au dagaa huonesha kwamba baada ya paka kuokoka, sasa hali tena panya bali anakula samaki/dagaa tu.

Hata kuwa Esopo kunahitaji umakini fulani.
 
Back
Top Bottom