Prof. Anna Mughirwa live star TV

Prof. Anna Mughirwa live star TV

katesh

Senior Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
117
Reaction score
21
Ameonyesha uwezo mkubwa wa uchambuzi wa masuala ya kisiasa, amefafanua vema dhana ya kiongozi wa chama. Kipindi kiko vizuri sana leo.
 
Traitors......

ACT... agizo la chama tawala....

Wapinzani wa wapinzaniiii
 
Ziara zimewashinda wamerudi kufanya siasa mitandaoni na kwenye runinga! Na bado.
 
Tumewazoea hamna jema la ACT hata moja.Wakianza ziara mara wanashangiliwa na ccm tu ,wanapunguza kura za upinzani .sasa wamealikwa kwenye media nako mnaona nongwa
 
Huyu Anna amepata u-Professor lini>

Au u-professor wake ni sawa na ule wa Maji Marefu, Manyaunyau etc!
 
Ameonyesha uwezo mkubwa wa uchambuzi wa masuala ya kisiasa, amefafanua vema dhana ya kiongozi wa chama. Kipindi kiko vizuri sana leo.

Mkuu ndio nani huyo ktk siasa za tanzania?
 
Tumewazoea hamna jema la ACT hata moja.Wakianza ziara mara wanashangiliwa na ccm tu ,wanapunguza kura za upinzani .sasa wamealikwa kwenye media nako mnaona nongwa

Ziara mikoani kote wanachama wa kunyoosha kidole ni 700.tu,ukianza kuwa register utabaki na 350, poleni sana chama cha mwandiga
 
Tumewazoea hamna jema la ACT hata moja.Wakianza ziara mara wanashangiliwa na ccm tu ,wanapunguza kura za upinzani .sasa wamealikwa kwenye media nako mnaona nongwa

Kiufupi hamkubaliki hapa tanzania,mtasubiri saaana
 
Ameonyesha uwezo mkubwa wa uchambuzi wa masuala ya kisiasa, amefafanua vema dhana ya kiongozi wa chama. Kipindi kiko vizuri sana leo.

vp zitto hajarudi toka ujerumani kufuata fedha zake kutoka akaunti yake ya usaliti?,ili muanze mkakati wa awamu ya pili?:drama:
 
Prof' Anna Mghirwa, Prof Jakaya Kikwete...ama kweli mnafanana kwa mengi!
Cjui Ayatollahs Al Khomenei ataitwa nani!
 
Back
Top Bottom