kivyako JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 14,341 Reaction score 12,068 Mar 22, 2015 #1 Mihemko haijalishi elimu aliyonayo mtu, siasa ni kama mambo ya simba ya yanga! Prof akipagawishwa na ujio wa Zitto ndani ya ACT. Attachments 1427020351739.jpg 79.3 KB · Views: 614
Mihemko haijalishi elimu aliyonayo mtu, siasa ni kama mambo ya simba ya yanga! Prof akipagawishwa na ujio wa Zitto ndani ya ACT.
Abdulhalim Platinum Member Joined Jul 20, 2007 Posts 17,216 Reaction score 3,126 Mar 22, 2015 #2 Uprof wa kupeana kama njugu.. hauna uzito wowote!
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 16,234 Reaction score 15,656 Mar 22, 2015 #3 Bongo politics,full mauzauza...
T Tata JF-Expert Member Joined Dec 3, 2009 Posts 5,799 Reaction score 2,734 Mar 22, 2015 #4 Inakuwaje huyu Prof. anapiga siasa na bado anaendelea kuwa mwajiriwa wa serikali - chuo kikuu cha Dsm?
Inakuwaje huyu Prof. anapiga siasa na bado anaendelea kuwa mwajiriwa wa serikali - chuo kikuu cha Dsm?
mjukuum JF-Expert Member Joined Dec 8, 2014 Posts 5,257 Reaction score 2,850 Mar 22, 2015 #5 Zito aliaza fujo na dharau?????? ameenda huko tupo tinaomfaham zito ni member wa ccm akiwa kwenye chadema so now act
Zito aliaza fujo na dharau?????? ameenda huko tupo tinaomfaham zito ni member wa ccm akiwa kwenye chadema so now act
Abdulhalim Platinum Member Joined Jul 20, 2007 Posts 17,216 Reaction score 3,126 Mar 22, 2015 #6 Tata said: Inakuwaje huyu Prof. anapiga siasa na bado anaendelea kuwa mwajiriwa wa serikali - chuo kikuu cha Dsm? Click to expand... Hapo ndio utakaposhangaa double stds za Serikali ya Majanga.
Tata said: Inakuwaje huyu Prof. anapiga siasa na bado anaendelea kuwa mwajiriwa wa serikali - chuo kikuu cha Dsm? Click to expand... Hapo ndio utakaposhangaa double stds za Serikali ya Majanga.
Zamaulid Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 20,343 Reaction score 16,807 Mar 22, 2015 #7 Hivi prof si alitimuliwa ACT au kang'ang'ania
B Bulesi Platinum Member Joined May 14, 2008 Posts 14,739 Reaction score 14,941 Mar 22, 2015 #8 Good riddance, the viruses have been deleted from the CHADEMA software!!