Kiukweli upataji wa Kazi kwa sisi tuliosoma POM imekua ni changamoto mnooo, maana ukisema usubiri ajira portal ni mpaka Tutorial assistant za POM (MZUMBE UNIVERSITY) tena kwa wenye GPA nzuri nje na hapo ni mtafutano wa private napo huko bila connection ni ngumu sana kupata kazi. All in all tuendelee kuomba mungu na kupambana tu. Ila kwa upande wangu naona POM kwangu ilikua ni wastage of time