sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,033
Yani naona maproducer wa siku hizi wana baraka ya vifaa vipya, software kali, internet, n.k ila nashindwa kujua ni wapi wanakosea kwenye mixing.
sikiliza kitu hiki, yani vocal na beat vipo sawa
Ni kweli maproducer wa zamani walikuwa wabunifu Sana kuliko wasasa ila Kuna ngoma ya Maua sama niteke ni bonge la ngomaYani naona maproducer wa siku hizi wana baraka ya vifaa vipya, software kali, internet, n.k ila nashindwa kujua ni wapi wanakosea kwenye mixing.
sikiliza kitu hiki, yani vocal na beat vipo sawa
yani sikuhizi majangahata mimi nilikuwa naenjoy sana nyimbo za zamani ila siku hizi ni majanga tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
ni kweli unachoongea, mfano ile she got a gwyne, lile gita alichara mzungu kichaaTatizo nyimbo inatengenezwa na producer mmoja vitu vyote anafanya yy,P Funk nyimbo moja inatengenezwa na watu zaidi ya watatu alafu P Funk anaimalizia.
Ndio maana kwa Majani kulikuwa na akina Lamar,Prof Ludigo,Soggy Doggy ,Hunter ,Duke hawa wote walikuwa wanasaidiana na Majani kutengeneza biti.
Maproducer sasa hivi wanakuwaga wa moto mwanzoni lkn baada ya miaka miwili mitatu wanakuwa wanaishiwa idea na kuanza kurudia idea zile zile za nyuma.
Nikisikiliza Nikusadieje,She got gwan,Zali la Mentali,Hakuna kulala,Mtoto Iddi,aka Mimi,Kibanda cha simu nk biti zake hazijawahi kuchuja kwenye masikio yangu.
limeshiba haswaa, na cha muhimu zaidi tunachoongelea hapa ni mixing yani ngoma inasikika fresh vocal na biti kwa pamoja
Niteke c ndo hiz hiz tu za kawaida zinachuja naNi kweli maproducer wa zamani walikuwa wabunifu Sana kuliko wasasa ila Kuna ngoma ya Maua sama niteke ni bonge la ngoma
Siku hizi kwenye industry kuna ubinfsi mwingi sana. Na hii inatokea kwa sababu moja ya watu kuogopa kupitwa. Ukienda sehemu kama abbah music, kuna producers wanne na wamegawana majukumu kuhakikisha mambo yanaenda. Ila hii itikadi ya mtu mmoja kufanya kila kitu na kuliamini sikio lake peke yake ndio inasababisha mambo kama haya.Yani naona maproducer wa siku hizi wana baraka ya vifaa vipya, software kali, internet, n.k ila nashindwa kujua ni wapi wanakosea kwenye mixing.
sikiliza kitu hiki, yani vocal na beat vipo sawa
nmeisikiliza ila naipa asilimia 60, mixing ya kawaida tuNi kweli maproducer wa zamani walikuwa wabunifu Sana kuliko wasasa ila Kuna ngoma ya Maua sama niteke ni bonge la ngoma
ndo mambo haya, yani hata ukiwa na subwoofer yako ya elf 50 bado kitu kinagonga fresh masikioni, sio hadi uanza kusikilizia home theatre za mamilioni2010743_John_Mjema_feat_Mez_B_Simba_Mission_Town.mp3
😂😂Maproducer wa Bongo wanakutolea album ndani ya wiki moja tu. Yaani hawa wanajua kutania kazi za watu.
Mzee isikilize vizuri ndo utajua.Niteke c ndo hiz hiz tu za kawaida zinachuja na
Week 3
god is good
Hiv aliyetengeneza Niteke ya Maua sama ni Nani? ile mix ipo bomba Sana.S2kizzy baby..hahahaha
Kuna dogo anatumia ID ya "the mixkiller" naona kwenye nyimbo nyingi za sasa yupo..sasa sijui ndo mtabe wa mixing au vipi?
Incase you don't know ya Jux ni wimbo wa kipindi hiki nilioelewa mixing yake