Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,775
- 28,222
Kuishi Bongo nako inahitaji moyo.Hii ndio bongo mdau
Luffa beat zake huwa hazifanani kabisa fundii.Luffa alijua kuitendea haki beat kwenye hit "JUU" ya Vanessa Mdee ft Jux.
Ile hit ni nyokoooooh lol
Kazi nzuri comradeHuyu mtu nakumbuka mwaka juzi nilimfuata insta Dm kwa kumpa pongezi zangu za dhati. Namuelewa sana jamaa. Mwengine ni ChizanBrain,Heshima kwao.
Kabisaaaaah yaaanLuffa beat zake huwa hazifanani kabisa fundii.
Kwa kweliLuffa yuko vizuri sana ππ
Na zaidi he is really cool!!