Habari wana JF,naombeni msaada wenu natafuta kazi ya procurement kwa ajili ya mdogo wangu wa kike nimemsomesha kwa shida sana sasa kamaliza na kafaulu vizuri ila hana kazi.Jambo hili linanisumbua sana.
Kwa yeyote anayejua hata sehemu ambayo anaweza akapata hata intern naomba anisaidie kunipa hizo taarifa nimeshajaribu sehemu zote ninazozijua bila mafanikio.
Kwanza nikupe hongera kwa moyo wako uliyonao wa kumsomesha mdogo wako....ila nakushauri asome mitihani ya board(PSPTB) ili awe marketable....afu akimalize tuwasiliane...
kupata kazi za procurement ni ngumu sana. Mfungulie hata biashara. Kusoma sio kuajiriwa. Pia kuna kujiajiri.
mkuu huezi amin ---- mshikaj wangu kitaa huu mwaka wa 5 ajapata job la ugavi duh vimeno noma
Habari wana JF,naombeni msaada wenu natafuta kazi ya procurement kwa ajili ya mdogo wangu wa kike nimemsomesha kwa shida sana sasa kamaliza na kafaulu vizuri ila hana kazi.Jambo hili linanisumbua sana.
Kwa yeyote anayejua hata sehemu ambayo anaweza akapata hata intern naomba anisaidie kunipa hizo taarifa nimeshajaribu sehemu zote ninazozijua bila mafanikio.
nimesoma procurement...sasa nafanya kazi kama mwalimu shule moja ya msingi English medium... nakushauri usingoje hadi mambo yakiwa magumu, afanye kazi yoyote tu.
Wagavi tunaofundisha sasa tupo wengi na tuna mpango wa kuchukua PGDE.
HATUJAKATA TAMAA ILA NDO HVO MFUMO UMETUKATAA. HUKU TULIPO WANAFAIDI PIA UWEZO WETU WA ZIADA KAMA WALIMU NA MSAADA TUNAOWAPA KAMA WAGAVI...
Kz zingine zina uhakika wa NOTI moja kwa moja so kuzipata Lazima uwe na LINK yakueleweka...!