sio siri wewe ni mtu nlikua namwamin sana hapa jamvin...ila hapo kwenye red pamenipotezea iman na wewe...sijafurahishwa na hayo maneno(naiman pia wengi hawajafurahishwa nayo),ukiwa unachangia jali na wengine(usiwakwaze),kumbuka sio kila mtu anayekosa ud hayuko poa..kuna koz zipo kwengine na hapo ud hamna mfano petrolium engineering,survey na architecture hata kilmo(agriculture)....SO WATU KUCHAGUA VYUO VINGINE(UNAVYO VIITA VYA KATA) SI KWAMBA HATUWEZ SOMA UD ILA TUTAKACHO HAKIPO HAPO UNAPAITA UDSM...so fikiri kwanza kabla ya kuropoka na jali wengine pia(usiwakwaze kwa maneno yako).......