Sijafahamu kuhusu hali ya afya baada ya kutoa figo, hilo mpaka wataalam. Ila ninachojua mtu anaweza ishi na figo moja kwa muda mrefu, japo sijajua "complications" ya kuishi na figo moja.
Utaratibu ni rahisi, fika Muhimbili omba kuonana na mkuu wa idara au mkuu wa kitengo cha mahusiano ya umma. Wao wana wagonjwa hapo wanaohitaji transplant za figo, watakupa utaratibu mzuri kutoka kwa mhitaji na mtafikia makubaliano. Wao watakutafutia mgonjwa "mteja" anaeweza kununua figo toka kwako mtakubaliana.