problem with Samsung s3 mini

g.n.n

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
407
Reaction score
49
Tatizo la hii simu tajwa hapo juu ni kuzima Zima n sms zinapotea za tangu Jana coz tatizo limeanza leo. Pics pia hazionekani though kwa pc naona everything.
Kama kuna quick help naomba msaada kwa hili au kama ushawahi kukutana na hili tatizo ukalisolve naomba unijuze...
 
Hiyo ngoma nahisi kama ni kirusi vile. Labda kwa kuanzia toa memory card na line theb fanya factory reset. Kama tatizo litaendelea baada ya hapo tafuta mobile phone anti-virus (preferebly kaspersky) then install na scan simu yako na sd card vyoote halafu angalia.
Kama upo Dar nenda pale Maisha computers wana hizo anti-virus.
Mie msaada wangu wa mawazo umeishia hapo ila nina imani unaweza pata zaidi ya haya.
Pole and all the best
 
Mimi ya kwangu tatizo lipo kwenye Internet,kila nikiandika chochote ku-search haikubali zaidi ya Jamii Forums tuu,Network Signal ipo Ok kabisa,tatizo ni ku-surf na ku-downloads vitu.
 

fungulia KIES kwenye computer yako then run recovery
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…