Wana JF nisaidieni ninataka kuinstall wireless driver kwenye laptop yangu model compaq nc6000 nimepata drivers nyingi kutoka http://h20000.www2.hp.com/bizsuppor...esId=367367&swLang=8&taskId=135&swEnvOID=1093 na kupata list kubwa ya wireless drivers sasa sijui which one is specific for my laptop model? hata hivyo nimeinstall kama drivers 3 lakini sioni response yoyote pliz help?