S shaja Member Joined Mar 30, 2013 Posts 24 Reaction score 0 Nov 22, 2013 #1 Habari Wanabodi.! Nafanya Installation na Configuration ya Game ya PES2014 kwa bei nafuu sana.Game iko poa sana na ina wachezaji wapya wa timu mbalimbali Ulaya kulingana na usajili mpya.Mwenye kuhitaji ani PM tuelekezane. Kila la kheri.
Habari Wanabodi.! Nafanya Installation na Configuration ya Game ya PES2014 kwa bei nafuu sana.Game iko poa sana na ina wachezaji wapya wa timu mbalimbali Ulaya kulingana na usajili mpya.Mwenye kuhitaji ani PM tuelekezane. Kila la kheri.
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,746 Reaction score 22,663 Nov 22, 2013 #2 Mkuu ungeweka price hazarani ili mwenye nia akucheki akiwa anajua bei tayari
S shaja Member Joined Mar 30, 2013 Posts 24 Reaction score 0 Nov 22, 2013 Thread starter #3 Mwl.RCT said: Mkuu ungeweka price hazarani ili mwenye nia akucheki akiwa anajua bei tayari Click to expand... Sisi wote ni wadau wa JF tutasaidiana kwa 10000/= per PC.
Mwl.RCT said: Mkuu ungeweka price hazarani ili mwenye nia akucheki akiwa anajua bei tayari Click to expand... Sisi wote ni wadau wa JF tutasaidiana kwa 10000/= per PC.