Prizenta wa kibongo kuigana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prizenta wa kibongo kuigana

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by LEONELL, Apr 5, 2012.

 1. LEONELL

  LEONELL JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 394
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  baraa bara kabisa wapenzi wasomaji wa ujumbe huu embu naomba mnifahamishe inakuwaje unakuta prizenta wa ki tz wanapokuwa wanaigana kutangaza yaani mpaka inakuwa ina boa coz unakuta umefungua redio hii utafikiri ndo hile uliyokuwa unasikiliza awali yaani kwa kama huku niliko ndo usiseme.., embu tupieni ma advaisi yenu zen tuwashauri madogo hawa wanao kurupuka tuu kutangaza...
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Weka mifano kusapoti maneno yako,kama prezenta nani?
   
 3. S

  Skype JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Ngoja nimsaidie mtoa hoja, kwa mfano Fransis Raymond wa Ebony Fm(iringa) anamwiga sana Masoud Kipanya aliyekua clouds fm then maisha plus na sasa times fm.
   
 4. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ebony fm??
   
 5. LEONELL

  LEONELL JF-Expert Member

  #5
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 394
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  tehe tehe tehe cyo Ebony unayofikiria wewe hii ni radio station inapatikana iringa o unaweza kuipata online fungua google zen tafuta Ebony fm iringa
   
Loading...