Nawasubiria tuu, kumbe bado hawajafikaHalafu wengi tutakuwa tumewaacha njiapanda
Ooooh!, Ni kweli taarifa zangu nyingi kwa sasa zinamilikiwa na taasisi/organization kibao!.Yaani ni kwamba mambo ya siri na ya binafsi hayako salama tena! Watu wanaweza kuyapata kwa njia nyingi
Mi mmoja wapoHalafu wengi tutakuwa tumewaacha njiapanda
Aisee! Mi ngoja nijaribu kuzuia taarifa zangu kuvuja[emoji23] [emoji23] ni ishu inahusu taarifa binafsi sio siri tena
Duh!Huwezi kabisa
Angalia
Passport yako
Emails zako
Leseni yako
Kitambulisho chako cha mpiga kura
Kitambulisho chako cha bank
Kitambulisho chako cha uraia
[emoji239] [emoji22] aisee Niko uchi aseeHuwezi kabisa
Angalia
Passport yako
Emails zako
Leseni yako
Kitambulisho chako cha mpiga kura
Kitambulisho chako cha bank
Kitambulisho chako cha uraia