Prisoner & human rigths ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Prisoner & human rigths !

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BabaTina, Feb 26, 2009.

 1. BabaTina

  BabaTina JF-Expert Member

  #1
  Feb 26, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 362
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 80
  Jamani wanajamii wenzangu ebu nipeni msaada kwa hili kwamba kumekuwepo na tetesi nyingi juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu pande za magereza suala hili limekuwa likipigiwa kelele sana ijapokuwa watu wameziba masikio.ebu chukulia mfano mtu aliyeshikwa na kusingiziwa kesi then akafungwa na akakutana na uvunjwaji mkubwa wa haki za binadamu hizo pande za magereza yetu pata picha hapo then niambie mtu huyu atajisikia vipi ? hapo jibu utakuwa nalo mwenyewe
  lakini hiyo kwangu si issue sana! issue kubwa ni kuwa nnataka kutengeneza kipindi cha tv ambacho kitakuwa kinajadili masuala mazima ya uvunjaji wa haki za binadamu lakini zaidi kabla ya kufanya hilo nahitaji nipate mashuhuda ama watu kadhaa ambao watakuwa tayari kurekodi nami wakitusimulia mkasa mzima wa namna mambo yalivyowakuta hata wakajikuta wakitupwa gerezani kwa kosa lisilokuwa lao na zaidi wanipe story zao juu ya hali halisi ya maisha yao walipokuwa gerezani(life experience) kabla ya kuachiwa ama kurejea uraiani na hapo tutakuwa na bonge la story la kuwaeleza wanajamii ni nini kinachoendelea kwa hizo pande za magereza.
  msaada wa kimawazo namna ya kufanya hii documentary na hata kuwapata wahusika wenyewe please nitumie msg kupitia site yetu hii ya jamii.​
   
 2. BabaTina

  BabaTina JF-Expert Member

  #2
  Feb 27, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 362
  Likes Received: 373
  Trophy Points: 80
  inaonekana kama vile binadamu bado hamjanielewa wanajamii make sipati mawazo yenu ama vipi ?
   
Loading...