Prison break, somo kwa majasusi

ndani ya seasson_3,episod ya 13 hapo kuna ujuzi binafsi wa scofield dhidi ya jasusi wa kike kama sijasahau anaitwa Grachan,anaachwa solemba hadi boss anampiga chini kijasusi huku scofield Amiens a mbele zaidi kumsaka SARA-tancred,
Hahah yule demu mtata, anaitwa Susan B Anthony
au Gretchen Morgan.
 
Ungetutahadharisha mapema mkuu. Though hujafanya kibaya.
download TERRARIUM TV alafu player download MX player.,na kama unataka kudownload kabisa hizo series ongezea hii app DOWNLOAD ACCELERATOR.,utaenjoy
 
Ulishaona muvi ya Escape Plan? Yupo Syllivester stallone, Anord Schwizerniger na 50 Cent. Bongee la gereza lipo ndani ya meli hafu meli inatembea.
Mkuu hata Fox river ilikua kali ulinzi na lile la sona. Alitumia amili mingi zaid tu..
escape plan iko vzr ila prison break ni moto wa kuotea mbali
 
Miaka 10 iliyopita niliishia seaso 3 ikiwa haijaisha,kuna watu walianza utapeli wa kuuza vi epsode wakidai ni complete season,
Sikukata tamaa kwanza lakini nilikuja kuuziwa ya mbele na kilichomo ndani ni cha nyuma,hapo ndio mapenzi na wauza dvd yalinipotea.
KWA sasa naifuatilia Azam kqa lugha laini ya kisqahili.na pia muda wa nyumbani.
 
kwa akili aliyoigiza Jack Bauer kwenye 24..Scofield bado hagusi na zaidi Jack kwenye 24 alikuwa anaumiza kichwa kukiwa na pressure ya kutokea matukio ya hatari yanayocost maisha ya watu na anafanikisha kurescue...Scofield ni kichwa sana ila alikiwa na mda wa kuplan bila pressure...all in all wenzetu wanajua ma hii industry kwao ni proffessional sio kiki kama huku bongo wengi wao wanavyoichukulia....pia nakubali sana mishe za kwenye LOST namna Ben na Genge lake wanavyochezea watu akili[emoji1] .
 
Hua ni saa ngapi boss na azam ipi?
 
ndani ya seasson_3,episod ya 13 hapo kuna ujuzi binafsi wa scofield dhidi ya jasusi wa kike kama sijasahau anaitwa Grachan,anaachwa solemba hadi boss anampiga chini kijasusi huku scofield akienda mbele zaidi kumsaka SARA-tancred,
nasikia season 6 ixhatoka ni kweli au?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…