inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,771
- 22,572
jela za scofield huwa za kibwegebwwge tu..anapata sana uhuru wa kutekeleza mambo yake..hii ndo kitu inanifanya niipende zaidi 24 na kuiona pb ya kivulanaHii episode maiko alipanda kule juu kabisa akawa anaangalia hizo njia 3 English st,Fitz na Pecy. Baada ya kufika kule juu Berick akagundua solfied katoroka hivyo akatoa taarifa polisi. Polisi walipokua wanakuja Michael akawa anaangalia Polisi wanachukua dk ngap kufika gerezani pindi Mfungwa akitoroka? Na hutumia njia zipi..?
Njia walizotumia kati ya hizo ni English na Pecy do Fitz akaconfirm ndo watakayotumia kutoroka.
Ulishaona muvi ya Escape Plan? Yupo Syllivester stallone, Anord Schwizerniger na 50 Cent. Bongee la gereza lipo ndani ya meli hafu meli inatembea.jela za scofield huwa za kibwegebwwge tu..anapata sana uhuru wa kutekeleza mambo yake..hii ndo kitu inanifanya niipende zaidi 24 na kuiona pb ya kivulana
hakuna jela za kijinga duniani kama za scofieldUlishaona muvi ya Escape Plan? Yupo Syllivester stallone, Anord Schwizerniger na 50 Cent. Bongee la gereza lipo ndani ya meli hafu meli inatembea.
Mkuu hata Fox river ilikua kali ulinzi na lile la sona. Alitumia amili mingi zaid tu..
Hamna kitu ka hicho Sona ilikuwa na hatar mno, lakin jamaa alitorokahakuna jela za kijinga duniani kama za scofield
Sidhani mkuu ingekuwa jela za bongo angeescape ndani ya dakika ngapihakuna jela za kijinga duniani kama za scofield
ukonga unatokea wapi babu!!?..labda mkienda kukata kuni utoke nduki..jela za scofield zote lazima apate upendeleo maalum,fox river palikua na p.i unit,sona yuko karibu na lechero..sucre akapata shavu la kushughulikia maiti akaziweka vizuri senyengeSidhani mkuu ingekuwa jela za bongo angeescape ndani ya dakika ngapi
PB ni ya kivulana sana....ukonga unatokea wapi babu!!?..labda mkienda kukata kuni utoke nduki..jela za scofield zote lazima apate upendeleo maalum,fox river palikua na p.i unit,sona yuko karibu na lechero..sucre akapata shavu la kushughulikia maiti akaziweka vizuri senyenge
nashindwa kuiplay[emoji22][emoji22][emoji22]https://solarmoviez.ru hapo ni bure kabisa ni wewe na bando lako tu.
Shukrani sana mkuu.https://solarmoviez.ru hapo ni bure kabisa ni wewe na bando lako tu.
Sijawahi kuiangalia 24, kwa hiyo unataka useme kuwa ni zaidi ya prison break? Anyway mi nilijaribu kuiangalia 24 nikaona imekaa kizee zee hvi maana aliyecheza na yeye mzeeukonga unatokea wapi babu!!?..labda mkienda kukata kuni utoke nduki..jela za scofield zote lazima apate upendeleo maalum,fox river palikua na p.i unit,sona yuko karibu na lechero..sucre akapata shavu la kushughulikia maiti akaziweka vizuri senyenge
mtiririko wa prison-break una ubora wa hali ya juu sana na ili kuuelewa yapasa usiwe mvivu,pia itakushawishi hata kukesha kwani kila episode ina dakika 43Hii season 5 ilikaa kibabe sana ilivoenda kuchezewa yemen.
Kaniel outis alitisha sana, nilifurahi sana kumuona C note akiwa tayari ni muslim anapiga ibada.
Kweli sijawahi kuona movie ambayo waigizaji wanavaa uhusika kama hii
Mpaka hapo mkuu yaani nimeshakesha siku mbili mfululizo.mtiririko wa prison-break una ubara wa hali ya vjuu sana na ili kuuelewa yapasa usiwe mvivu,pia itakushawishi hata kukesha kwani kila episode ina dakika 43
Kwanini unashindwa kui-play mkuu? Unatumia simu au Pc?nashindwa kuiplay[emoji22][emoji22][emoji22]
Karibu sana mkuu.Shukrani sana mkuu.
Hata mm nilishindwa kuitumia kwa simu..Kwanini unashindwa kui-play mkuu? Unatumia simu au Pc?
Na mimi imenishinda tabia. Imekataa ku pray.Hata mm nilishindwa kuitumia kwa simu..
Hata mm nilishindwa kuitumia kwa simu..
Hiyo link siyo ya kutumia kwenye simu wakuu, hiyo tumia kwenye Pc. Mimi naitumia kila siku.Na mimi imenishinda tabia. Imekataa ku pray.
Ungetutahadharisha mapema mkuu. Though hujafanya kibaya.Hiyo link siyo ya kutumia kwenye simu wakuu, hiyo tumia kwenye Pc. Mimi naitumia kila siku.
Weka mbali na watoto huyu jamaa hafai akija nchini mwako lazima uhanye.Kabisa Jack Bauer