https://solarmoviez.ru hapo ni bure kabisa ni wewe na bando lako tu.Wadau mwenye link ya kuona hii movie naiomba
Nadhani kwa ujasusi waangalie season ya 24 hours pia.Wasalaam;wakuu tujielekeze katika filamu iitwayo prison break ipo katika mtiririko wa season,lakini maudhui yake ni elimu tosha kulingana na mtiririko wa matukio yote ndani ya sinema hizo,kisa cha kwanza season 1,ukionja hapo huachi kuendelea na mtiririko wote hadi season4,ambapo kila episod ina dakika 44.kivutio ni mhusika mkuu Michael scofield akiigiza kwa umahil mkubwa sana na kugusa jamii nzima. Imepita miaka zaidi ya kumi jamaa wakadondosha seasson5 mwaka 2017,ujuzi wa humo ndani huchoki kutazama,kwa ufupi jamaa wanajua sana kuuvaa uhusika!
Kesho inaanza kurushwa Azam 1 **** una access jiandae kufuatilia..Wadau mwenye link ya kuona hii movie naiomba
Soon,kabla ya sept mkuuSeason 6 bado wakuu?
Utakufa ww hiyo ni muvi tuu..PB hii ni kama Game kwangu kila nikikaa naitazama.
Baada ya muda nitajaribu kufanya vitu vya namna hii haya kwa watu wangu wa karibu. View attachment 811542
I cant wait broSoon,kabla ya sept mkuu
Series ya akili sana hii.Utakufa ww hiyo ni muvi tuu..
Ipo inaonyeshwa Azam one