Prison Break Season 6 Is Back!!!

Mzee mzima Tee berg, alipitia mateso sana yule mzee
Ni mkuda tu wa yule jamaa, haha yule jamaa alikuwa anatamani makalio yaliyo nona ya wafungwa wenzake ukizingua kaburi hilo hapo....
 
Ni mkuda tu wa yule jamaa, haha yule jamaa alikuwa anatamani makalio yaliyo nona ya wafungwa wenzake ukizingua kaburi hilo hapo....
yule ndo mwamba sasa na c note..maboya wakamuua mapema abruz
 
yule ndo mwamba sasa na c note..maboya wakamuua mapema abruz
huyu alikuja kufa kifo cha ajabu pamoja na kuwa alikuwa mbabe wa gerezani baada ya kuchukua hatamu kutoka kwa Lachero, Sammy


Huyu jamaa alikuwa mbabe sana akiwa gerezani
 
Ndo maana mwigizaji anabaki kuwa mwigizaji, kazi ya utunzi awaachie watunzi.
Hapa ndipo walipokuja kuharibu Bongo Movie! Mtu akiigiza movie zake mbili, kesho anaandika script wakidhani kuandika script ni kama kuigiza ambako, just kwa maelekezo mazuri ya director, unaweza kuigiza vizuri hata kama ulikuwa hujawahi kuigiza hapo kabla!!
 

Unajua kama siyo mfuatiliaji mzuri wa haya mambo unaweza kudhani eti zile akili za ku-break prison ni za kina Scofield, na unaweza kudhani jamaa ni genius, kumbe kuna genius behind all those. Kwa hilo wazo alilloleta unajua kabisa huyu hakuna kitu kwenye utunzi.

Bongo utakuta A Vincent Kigosi Movie, main Director ni yeye, main character ni yeye, mtunzi ni yeye, location manager ni yeye, etc etc. Unakuta movie zote alizo act zinafanana kila kitu kwa sababu mawazo ni ya mtu mmoja.
 
Yah! Majority ya wasiofahamu film production wanadhani yale yanayotokea ni akili za waigizaji bila kufahamu msingi wa yote ni Mwandishi huku Director akihakikisha uhalisia unatimia! Ndo kuna cku niliwaambia hapa watu kwamba filamu yoyote msingi wake ni script... ukishakuwa na tight script, unaweza kwenda pale Kariakoo na kuchagua watu wa kuigiza at random na bado wakaigiza filamu yenye hadhi ya Oscar provided kuna tight script na director mzuri!!!

Kinyume chake, ukishakuwa na script mbovu, hata ukichukua A-List Actors kutoka Hollywood, bado filamu itakuwa mbovu tu!! Utaalamu wote wa waigizaji na director utaishia kutoa bidhaa mbovu isiyo na mvuto!!!
 
Uwongo mkubwa uliowahi kuandikwa JF ni huu.. kamwe film producers hawawezi kutoa plot wakat film haijaachiwa. Sana watatoa premises tu
 
tangu nicheki season one azam tv, nimetafuta season 2 nimekosa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…