Printing

Printing

shine9091

Member
Joined
Jun 4, 2014
Posts
24
Reaction score
3
Habari zenu wapendwa. ..
Jamniii wenzangu mimi najihusisha na maswala ya printing natafuta tender kwa yeyote anayehitaji huduma au anayeweza nisaidia kupata
Usiku mwema
 
Ila uwe makini si kila MTU humu jamvini ni binadamu
 
Habari zenu wapendwa. ..
Jamniii wenzangu mimi najihusisha na maswala ya printing natafuta tender kwa yeyote anayehitaji huduma au anayeweza nisaidia kupata
Usiku mwema
printing ya nini, viabu au paper za kawaida, and how much do you charge
 
Najihusisha na kuprint tshirt. ..keyholders. ..kofia..sahani..bei kuanzia 2000inategemeana na ukubwa wa kazi yako na materials asante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom