Lorenzo Insigne Senior Member Joined Nov 14, 2017 Posts 132 Reaction score 331 Jan 13, 2018 #1 Salaam wakuu! Mwenye anayeuza mashine ya kuprint jersey au anafahamu upatikanaji wake naomba msaada ani-pm!
Salaam wakuu! Mwenye anayeuza mashine ya kuprint jersey au anafahamu upatikanaji wake naomba msaada ani-pm!
jombi95 JF-Expert Member Joined Jul 24, 2016 Posts 1,405 Reaction score 2,189 Jan 13, 2018 #2 Heat pressing Machine inaitwa. .kuna jamaa yupo humu anapatikana kinondoni ngoja nikuchekie mawasiliano yake
Heat pressing Machine inaitwa. .kuna jamaa yupo humu anapatikana kinondoni ngoja nikuchekie mawasiliano yake