wao wamesema wanaprint kwa low cost walitakiwa kuweka bei zao kama wameweza kutoa tangazo kwanini wanashindwa kuweka bei hakuna kitu aghali wala rahisi uaghali wa kitu au urahisi wake unapatikana baada ya kulinganisha bei ya vitu vinavyofanana mfano mi naweza kusema nauza vitenge vya wax toka kongo kwa shilingi elfu 5 akatokea mwingine akasema anauza vitenge aina hiyohiyo na kutokea huko huko kwa shilingi elfu 8 hapo ndio itaonekana mimi bei yangu ni nafuu lakini anaweza akatokea mwingine akasema anauza vitenge wax toka Tanzania kwa bei ya shilingi elfu 3 hapi sitaangalia unafuu bali nitaangalia na ubora