Fedora
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 238
- 173
Wadau nataka kufungua ofisi (photo studio) na nimekua kwenye mazungumzo na jamaa yangu ambae yeye ni mzoefu wa biashara hii kwa muda mrefu nikimuomba aniuzie printer yake (noritsu 3001) ambayo kwa sasa haitumii baada ya kununu nyingine kubwa. Tulikubaliana mil. 6 Lakini tangu tufanye makubaliano hayo amekua hanipi ushirikiano mzuri kwa kutopokea simu zangu ili tufanye taratibu za kulipana na kukabidhiana mzigo, hivyo nataka kuachana nae. Naombeni msaada ni wapi hapa tanzania naweza kupata printer za picha (minilab) kama hiyo kwa bei rafiku.
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app