Printer inauzwa

CODER

Member
Jul 14, 2014
47
7
Nauza- Maelewano pia yapo

1. Chapisha Picha 4*5,5*6&A4
2.Passport size
2. Chapisha DVDs cover
3. Chapisha karatasi za kawaida A3,A4
4. Jaza winno kwenye cartrage bila kununua mpya. winno wa 5000Tu.
5. Wireless Ability- unaweza unganisha offisi nzima waka chapisha machapisho yao kupitia printr hii moja kinachotakiwa kila mtumiaji awe na laptop au desktop yenye wireless adapter ambayo ita unganisha na smartphone yako kama (access point) au unaweza tumia router na mwisho ina link na printr hii.

Tsh-350,000/=

Simu # 0654 011 011
 

Attachments

  • IMG_20170422_085733.jpg
    IMG_20170422_085733.jpg
    112.3 KB · Views: 46
  • IMG_20170422_085758.jpg
    IMG_20170422_085758.jpg
    102 KB · Views: 47

Similar Discussions

Back
Top Bottom