Adolph JF-Expert Member Joined Sep 26, 2010 Posts 895 Reaction score 346 May 10, 2013 #1 wakuu ni printer gani coloured ya bei nafuu isiyosumbua kwenye ujazaji wa wino.dah nimenunua hp photosmart 6510 inasumbua sana kwenye ujazaji wa wino mara nyingine inagoma kabisa kuprint
wakuu ni printer gani coloured ya bei nafuu isiyosumbua kwenye ujazaji wa wino.dah nimenunua hp photosmart 6510 inasumbua sana kwenye ujazaji wa wino mara nyingine inagoma kabisa kuprint