Principle wa IAA (MONYO) apigwa chini na Bwana ATHANAS CHALE kwenye kesi kati yao wawili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Principle wa IAA (MONYO) apigwa chini na Bwana ATHANAS CHALE kwenye kesi kati yao wawili

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by agger, Aug 6, 2012.

 1. a

  agger New Member

  #1
  Aug 6, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kwa waliokuwa mahakama kuu kanda ya arusha jana tarehe 3/8/2012; kuna kesi inayoendelea kati ya Principle Prof MONYO na Lecture ATHANAS CHALE. Upande wa mashtaka (MONYO) alikuwa na shahidi SABDAT A SABDAT pamoja na mawakili wa serikali huku bwana CHALE akiwa mwenyewe. Bwana CHALE ameshinda Kesi huku akiibua mambo kibao yenye uozo juu ya Prof MONYO.

  Nanukuu " Mheshimiwa hakimu naomba kusema bwana MONYO amekuwa akiupotosha umma kuwa yeye ni Proffesor kuanzia 2008 wakati wadhifa huo ulibatilishwa na waziri baada ya kugundulika uprofessor(PHD) wake aliupata online" bwana chale aliambatanisha na uthibitisho wa ubatili wa PHD ya MONYO.

  Mengine yaliyo ibuliwa ni pamoja na ukandamizaji wa haki za wafanyakazi, wanafunzi kufukuzwa chuo bila reason maalum ila ambalo litammaliza MONYO ni hili hapa; Kuanzia 2008 kuna barua ilitoka wizara husika ikiamuru ASSISTANT LECTURES wote walipwe 1.7M badala ya 1.4 M lakini bado wanalipwa 1.4M huku laki 3 kwa kila lecture ikiliwa.

  Kwa mujibu wa chale MONYO ana uongozi wa kibabe!!

  "jaji alikuwa akicheka wakati Chale akimwaga pointi" na MONYO awa mdogo kama piriton. Mawakili wa serikali walifuta kesi kutokana na kutokuwa na ushahidi wa kutosha huku Bwana ATHANAS CHALE akitoa ushahidi na vielelezo vya kutosha zikiwemo SMS na e-mails pamoja na barua.

  Inavyoonekana bwana chale atadai fidia so MONYO ajiandae..

  HONGERA BWANA CHALE!

  WEWE NI JEMBE..
   
 2. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Ufisadi,ubabe,umemalizwa hapo chuoni sasa bwana chale rudini chuoni msonge mbele na mulisukume gurudumu la elimu.
   
 3. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Source pl's
   
 4. ng'wanankamba

  ng'wanankamba JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 340
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Chale ni jembe la ukweli... Transparency...!
   
 5. KATATANAMA

  KATATANAMA Member

  #5
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mshirikina sana huyo Principal wa kugushi bora hata apigwe chini.
   
 6. carter

  carter JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2012
  Joined: Jan 23, 2009
  Messages: 1,642
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. ng'wanankamba

  ng'wanankamba JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 340
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Hakuna ushahidi wa moja kwa moja kuhusu ushirikina wa Prof Monyo lakini kuna ushahidi wa kimazingira. Anavaa mipete ya ajabu ajabu na wanafunzi walikuwa wanakufa sana mpaka ikabidi kuita masheikh na wachungaji kufanya maombi na wanafunzi wengi walikuwa wanaamini kuwa Prof Monyo alikuwa anawatoa kafara.
   
 8. MMkulima

  MMkulima Member

  #8
  Aug 9, 2012
  Joined: Jun 19, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mod, habari imenisikitisha sana.

  Ninakuomba umchukulie hatua za kindhamu huyu agger kwa kusema uongo unaoweza kuleta ugomvi na kuvuruga amani kwa watu.

  Nanukuu
  " Mheshimiwa hakimu naomba kusema bwana MONYO amekuwa akiupotosha umma kuwa yeye ni Proffesor kuanzia 2008 wakati wadhifa huo ulibatilishwa na waziri baada ya kugundulika uprofessor(PHD) wake aliupata online" bwana chale aliambatanisha na uthibitisho wa ubatili wa PHD ya MONYO.
  Maneno hayo siyo ya kweli.
  Prof Monyo ni profesa ukweli, kwani Phd yake ambayo ililalamikiwa imeshathiobitishwa na taasisi zote mbili za TCU na NACTE mwaka huu. Na Uprofesa wake haukuwa na mgogoro wowote kwani aliupata kwa sifa ila Phd ndiyo iliyoleta shida na hilo limeshatatuliwa.

  Kuhusu Mishahara: Mishahara huwa inapangwa na Hazina. na haiwezekani kabisa hazina wakasema AL wote walipe kiwango fulani cha mishahara kwani kwa hao AL muda uliomaliza masters yako pamoja unazingatiwa kwenye kupanga mishara. hivyo hili nalo siyo la kweli. Ila inawezekana kukawepo makosa ya kibinadamu kwa mtu mmoja mmoja na siyo walimu wote ALs.

  Hili la kesi na Mwl chale nalo ni la uongo. Naomba agger athibitishe yafuatayo:
  1. Ni kesi namba ngapi na ya lini
  2. Mashitaka yalihusu nini
  3.Ilianza kusikilizwa lini
  4.umetaja hakimu na baadaye jaji....ni Hakimu au jaji gani aliyesikiliza
  5.Sabdat alikuwa antoa ushahidi kuhusu nini...maana nashindwa kuuona uhusika wake kwa lolote uliloliandika hapa.
  6. Hukumu ilitoa haki ipi kwa Mwl Chale

  Mwisho. Mod naomba Agger awe tayari kufichuliwa na kushtakiwa iwapo itaonekana kuwa anitumia JF kufanya uchochezi .

  Mimi siyo Msemaji wa Prof Monyo , wala wa IAA ila habari hiyo imenihuzunisha.

   
 9. Mulongo

  Mulongo Member

  #9
  Aug 9, 2012
  Joined: Apr 28, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Tangu Juzi yaani tar 6 Mwl Chale yupo Mbeya nimekutana nae sana pale Mbeya Carnival sasa huo ushahidi aliutoa siku gani?
   
 10. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #10
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  IAA ndio chuo gani wajameni?
   
 11. malema 1989

  malema 1989 JF-Expert Member

  #11
  Aug 9, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 848
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  upo Tanzania gani? Hii ni Arusha Institute of Accountancy
   
 12. malema 1989

  malema 1989 JF-Expert Member

  #12
  Aug 9, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 848
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  huyu anayejiita lecture Chale nafikiri ni miongoni mwa wale watanzania wanaopenda majungu sana badala ya kazi, kwani nimeangalia current staff list ya IAA wala hayumo lakini anaye mtuhumu yumo na ndiye Rector(only professor).Kwa hiyo mm naamini huyu jamaa kaharibu kazi na kufukuzwa na sasa anachoma mahindi vijiweni na kutaka kuwachafua wenye dhamana. Sisi wengine kuhusu mambo ya elimu tunawasikiliza NECTA, NACTE na TCU maana ndiyo maregulator wa elimu hapa nchini. Sijui huyo anayejiita lecture Chale anaregulate nini hapa nchini? Naombeni msaada wenu!
   
 13. Sooth

  Sooth JF-Expert Member

  #13
  Aug 9, 2012
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 3,773
  Likes Received: 4,491
  Trophy Points: 280
  ..Madaraka yanalevya sana. Prof. Monyo was once a very good guy.
   
 14. MMkulima

  MMkulima Member

  #14
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 19, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3

  Malema, naomba nikushihishe. Kwani kuna mahali popote huyo Chale amelalamika?
  Mimi nilichokisema hapo juu ni kumwomba Mod awe tayari kumtafuta huyo agger ili athibitishe huo uongo. maana anachokifanya hapo ni uchonganishi. Ni kweli wote waliotajwa hapo juu kwenye post yaani Prof Monyo, Sabdat na Mwl Chale , wote ni wafanyakazi wa IAA mpaka tarehe hiyo tajwa.
  Mie bado namwomba agger athibitishe huo uongo kwa kujibu maswali yangu kwenye post yangu ya nyuma. vinginevyo Prof Monyo, Mwl Chale na Sbdat wamweonewa katika jambo hili. NI VYEMA WATU WAKAWA WAKWELI KULIKO KUHARIBIANA MAHUSIAON KWA NAMNA HII.

   
 15. ng'wanankamba

  ng'wanankamba JF-Expert Member

  #15
  Aug 10, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 340
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Malema naona povu linakutoka kwa mambo usiyoyajua. Pole. Siyo lazima uchangie kila thread. Athanas Chale ni mfanyakazi wa IAA kama Prof Monyo na Sabdat. Kumekuwa na beef kati ya Prof Monyo na Bw Chale mpaka Prof Monyo akaenda kuripoti polisi kuwa ametishiwa maisha na Bw Chale. Aliyemwambia Prof Monyo kuwa Bw Chale anataka kumuua ni Bw. Lyimo aliyekuwa HRM kabla ya kupigwa chini wadhifa huo kutokana na ugomvi wake na Bw Manangwa.
   
Loading...