Princess Cruise ni kampuni ya uhakika?

Princess Cruise ni kampuni ya uhakika?

rushubilwa

Member
Joined
Apr 9, 2012
Posts
10
Reaction score
1
Jamani naomba kuuliza kuhusu hawa (Princess Cruise Company). Siku kama nne niliona nafasi za kazi hapa hapa,nikatuma maombi. Baada ya siku nikajibiwa na kutumiwa maswali (applicants questionnaire). Je, hawa ni moja wa matapeli au inakuwaje? Kama kuna mtu anawajua vizuri naomba atueleze.

Mahahara 2.5ml per day hukoooo sidhan kama tapeli lakin akidai hela ya appln ujue ni tapeli
 
Mahahara 2.5ml per day hukoooo sidhan kama tapeli lakin akidai hela ya appln ujue ni tapeli

wanadai wako Canada na USA,huwa wasumbuaga mwishoni...wanasemaga tuma ela ya kushugulikia work permit,ila kwa hawa sijajua.
 
tatizo kama ningeweka kichwa cha habari kiakisi maudhui ya ujumbe sijui kama ungesoma wewe. Haya mh tunaitaji nsaada wako kama unawajua
 
Mi nawajua! Wako poa sana! Wakihitaji chochote wape, na hiyo 2.5m ilikua ya mwaka jana, nadhani itakua ishapanda!
 
Mi nawajua! Wako poa sana! Wakihitaji chochote wape, na hiyo 2.5m ilikua ya mwaka jana, nadhani itakua ishapanda!

Mkuu ndio wewe nini ulioweka matangazzo ya Prncess Cruise?
 
Hapana. Ila nawajua sana! Intenationally recognised group of companies!

Ni kweli kabisa ni 'Internationally recognised group of companies'. Tatizo kuna watu wanaweza kutumia jina lao kuwaibia watu,ndo ninacho hofia.
 
1. wana physical address?
2. wana website?
3. ni mwiko kuombwa pesa yoyote kabla ya kuanza kufanya kazi,hata kama ni ya usafiri au kibali cha kufanya kazi.

akili kumkichwa
 
Mi nawajua! Wako poa sana! Wakihitaji chochote wape, na hiyo 2.5m ilikua ya mwaka jana, nadhani itakua ishapanda!

where are they located/their physically address.
 
Princess Cruise Company To Me

Sep 5 at 8:58 AM
Hi,
Your CV has been received and its been reviewed.
You will be contacted if the personnel department of the cruise line company assess your resume positively.
For the time been you will be furnished with in formations regarding the job and its working environment
Warm Regards,
Princess Cruise Company

Princess Cruise Company To Me

Sep 8 at 4:32 PM
DEAR (XXXX),

We have received your submitted RESUME and we sincerely appreciate your interest in our company, inline with this, we have reviewed your RESUME for employment consideration,attached with this Email is a questionnaire, Read carefully fill them in, express yourself concisely and clearly,and send back to us ASAP
Warm Regards,
Princess Cruise Company

Princess Cruise Company To Me

Sep 9 at 9:20 AM
Hello (XXXXX),

Your question :How long will take to start a job?

Answer:Soon as you complete the employment process,Upon confirmation of an offered contract, you will be contacted by our Fleet Personnel department and assisted with all of the below.

Valid Passport
C1/D visa if you are not a US or Canadian citizen
Medical examination clearance paperwork
Possibly a dental report
Personnel Data information
Police background check

Few weeks after these documents are arranged. you will be contacted by our Fleet Personnel department Confirming your date and place of embarkation,onboard the ship where your vessel leaves you will sign your contract, usually for 6 months, which you may prolong for up to 10 months upon agreement with Princess cruise line. A compulsory break (from 6 to 8 weeks) follows upon completion of your duties. If your work has been satisfactory, you will be offered another contract after the break.

Ndo e-mail ninazotumiwa na hii company na sijajua mwisho wake.
 
Back
Top Bottom