Asante kwa taarifa mkuu, kwa Royale Family this is news. Sasa wa kwetu eti kaibiwa na watumishi wa ndani na Tanzania Daima ikatuhabarisha eti kuna gamba linalalamika eti ni kuingilia privacy. Privacy nini wakati kesi iko polisi? Royale si mchezo anything is news!!! Big up mkuu. Wa malabukuni hata wakuibie mpaka sindano, not heard!! Poa tu.