Sijawahi kulalamika kuhusu Simba mm..mm tushinde au tusishinde nipo...huwa siipondi kabisa timu yangu.. π€£ π€£ π€£ π€£
WW subiri ligi ianze...utanikumbusha tena..

Duwaa la kuku halimapati mwewe bana Analyse...ππhebu muwe na subra msijimwambafy sana kwa kujiona mtakuwa wa moto..maaana tuna mashine za kuwapooza...

Sisi Wala hatujimwambafy. Tunaangalia tu jinsi mnavyosajili. Bahati yenu ni kwamba ngao ya jamii hatuchezi na nyie, lasivyo tungewapanikisha mapema π π