Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,996
- 189,582
Malizia na picha boss mbona unatunyima uhondo
Saivi saa ngapi mkuu au nimtag Aden Rage?News alert ina comments 5;,[emoji23][emoji23]
Wakishakuja Yanga tu ndio wana umri mkubwa, kabla ya hapo aaahView attachment 3035287
Naskia kati ya hao wawili kuna mmoja ndio yeye.
Ila kutokana na mfululizo wa sajili za umri mkubwa napata tabu mno kutambua yupi boss na yupi mchezaji.
Wakishakuja Yanga tu ndio wana umri mkubwa, kabla ya hapo aaah
Wachezaji wengi wa bongo ni vibabu, kuna mmoja hv wa Yanga ety ana 27 yn mm nmempita mwaka mmoja ila ukimwangalia utadhani ni babu yanguView attachment 3035294
Huyo mwamba hapo ualaza ushaanza kumnyemelea ila unaambiwa ni kinda la miaka 21 ligi ianze tu tuanze kusikia kelele za mangungu tuachie timu yetu
Muache Guede wangu!
Amesharudi kwao, analima magimbi muda huu 😅Muache Guede wangu!
Yanga wakimfukuza Guede mimi na ushabiki basii
Prince Dube 10 ndio Guede mmoja!Amesharudi kwao, analima magimbi muda huu 😅
Guede ni mtu wa Katavi. Nenda kule utamkutaPrince Dube 10 ndio Guede mmoja!
Yanga wamekosea sana
Nipeleke Ivory Coast nikaolewe na Guede
View attachment 3035287
Naskia kati ya hao wawili kuna mmoja ndio yeye.
Ila kutokana na mfululizo wa sajili za umri mkubwa napata tabu mno kutambua yupi boss na yupi mchezaji.
Mchezaji bora wa Azam? Unaongopewa hata kwa jambo mnalolijua