Prime Minister Narendra Modi aipaisha India

Prime Minister Narendra Modi aipaisha India

crabat

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
4,323
Reaction score
2,210
Waziri mkuu wa India Narendra Modi akiongea huko Madison Square Marekani mbele ya wamerekani wahindi zaidi ya elfu 18 ameipandisha India na raia zake kwa kutangaza kuwa wahindi wote waishio sehemu mbali mbali duniani ambao si raia wa India yaani people with indian origin watapewa Life Time VISA ya india.

Hivyo ni faraja kubwa kwa wahindi waliopo bongo wataendelea kuwa wabongo lakini wana uhalali wa kuingia india kwa uhai wao wote.

Huyu Modi anajiamini sana ni mtu mwenye vision ya kuipeleka India mbele.

Ameongea mambo mengi ya taifa lake
 
Madison Square...
 
Attachments

  • 1411937461443.jpg
    1411937461443.jpg
    64.8 KB · Views: 394
Kuna mama wa mmoja wa kihindi tumetokea kuelewana sana huwa analiongelea sana hili. Nitamtafuta ili nimpe hii habari njema atafurahi sana. Kuna wakati alikuwa anaenda India karibu ndege imuache kwa kuchelewa visa yake na hili la kuwa si raia tena pamoja na kuzaliwa na kusoma hadi Universities za India halafu kukataliwa kuingia India mpaka kwa visa lilikuwa linamtafuna sana .

Waziri mkuu wa India Narendra Modi akiongea huko Madison Square Marekani mbele ya wamerekani wahindi zaidi ya elfu 18 ameipandisha India na raia zake kwa kutangaza kuwa wahindi wote waishio sehemu mbali mbali duniani ambao si raia wa India ya people with indian origin watalewa Life Time VISA ya india.
Hivyo ni faraja kubwa kwa wahindi waliopo bongo wataendelea kuwa wabongo lakini wana uhalali wa kuingia india kwa uhai wao wote.
Huyu Modi anajiamini sana na mtu mwenye vision ya kuipeleka India mbele.
Ameongea mambo mengi ya taifa lake
 
Tanzania JK na serikali yake wanawachukia diaspora
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Waziri mkuu wa India Narendra Modi akiongea huko Madison Square Marekani mbele ya wamerekani wahindi zaidi ya elfu 18 ameipandisha India na raia zake kwa kutangaza kuwa wahindi wote waishio sehemu mbali mbali duniani ambao si raia wa India yaani people with indian origin watapewa Life Time VISA ya india.

Hivyo ni faraja kubwa kwa wahindi waliopo bongo wataendelea kuwa wabongo lakini wana uhalali wa kuingia india kwa uhai wao wote.

Huyu Modi anajiamini sana ni mtu mwenye vision ya kuipeleka India mbele.

Ameongea mambo mengi ya taifa lake
hata wabongo mtapata lifetime visa and even other privileges mzee, isipokuwa hamtakuwa raia, hamtapiga kura, hamtagombea cheo chochote. mtakuwa mnatembelea tu hii nchi yenu ya zamani. tunawapenda tunahitaji muendelee kuwepo hapa kwasababu mlizaliwa hapa, mama zenu wapo hapa hatuwezi kuwakana asilimia mia moja, damu nzito kuliko maji. wewe mbeba box ukija na mkenya tutakuthamini wewe kwanza kabla ya mkenya pamoja na kwamba wote status yenu ni moja.
 
Vipi Kupiga Kura za Kuchagua Waziri Mkuu? nadhani Modi katamka kwa Bahati Mbaya tu... Kiusalama wa Taifa haijakaa Sawa hilo.... Hivyo Kwa kusema hivyo idadi ya Raia wa India itakuwa ishaipiku China kwa Populations...

Sipati Picha wahindi Jirani Zangu watafurahiaje hilo jambo japo hawana mpango wa kurejea India... Ila Watajifeel sana.... Ndio Raha ya Kuwa na Viongozi Non Muslim... Wanakuwa wanatoa haki kwa Wote... ila Sasa wale wenye asili ya Pakistan sijui watajichanganya humo humo au? Niliona kulikuwa na maandamano nje walikuwa wamebeba Mabango Modi anauwa Waislam...
 
:what:

Tatizo sio kuwa na viongozi non muslim ila ni kwa wakristo wabongo kuwa wadini.
Leo tuna uhuru hapa Tanzania sababu kubwa ni Mwinyi ambae alizipindua upside down fikra za kikomunisti na ujamaa uchwara za uchoyo dhulma unyanganyi na roho mbaya na sasa kila mtu anafurahia uhuru wa maisha na fikra huru
 
Bunge la katiba lilikataa uraia pacha kwa Watanzania sababu kuu ni kuwa wazanzibar walioko oman watakuja kudai property zao.
Amesema znz tu lakini tanganyika kama wataruhusiwa ni sawa kutufishiwa mali zao !!
Hakika ni msiba sana.kwanza ni chuki ya waarab na pili sababu za kitoto na kijinga.
Bila shaka utoaji haki hio kikatiba ingeandamana na masharti maalum.
Pia unaoowangalia waoman walio kule wengi hawana hamu ya kurudi znz pia kwao sheria hio isingewezekana kwani muoman haruhusiwi kuwa na uraia pacha hivyo wengi waingefaidika nayo.
Modi anajua wazi wahindi waliopo nje wamejijenga hivyo ni njia nzuri ya kuingiza fedha kutika kwao

Sisi bado gundu la ubsguzi limeganda ndani ya nafsi zetu
 
Back
Top Bottom